Uzoefu unaonesha watu wenye elimu za wastani ndio wanaofanya mambo makubwa hapa Duniani, Drogba, Ronaldo, Madona, Jayzee hakuna hata mwenye degree hapo, je kuna mwenye degree wa kutia pua hapo?
kwa jay z c kweli coz ana bachelor of commerce,msomi mzuri kwenye masuala ya biashara!!!Uzoefu unaonesha watu wenye elimu za wastani ndio wanaofanya mambo makubwa hapa Duniani, Drogba, Ronaldo, Madona, Jayzee hakuna hata mwenye degree hapo, je kuna mwenye degree wa kutia pua hapo?
Hapa unaejichanganya ni wewe unayeshindwa kutofautisha kati ya Elimu na vyeti, sijui kama Elimu unayoiongelea wewe ni hii ya hawahawa Degree holder wetu wa leo wanaoandikiwa Application letter na form Graduate? Hivi Bill Gates ana kipaji gani?Hao wana vipaji, usichanganye watu wewe kwakuishushia hadhi elimu na kwa taarifa yako hata kuanguka kwao kunakua kwa kasi kama walivyopanda. Diamond mkwanja anaoupata sasa angekuwa na knowledge angekuwa mbali zaidi ya alipo, kumbuka hata Mr. Nice na Feruzi walikuwa juu
kwani lazima? kwanza kila mwanamke anazaliwa na Degree yake zile za shuleni ni ziada tu ukipenda mwenyewe, au mnadhani na yeye anataka kuwa kama Asha Rose Migiro?kwani si alikuwa anasoma uingereza??
Asome nini tena?
kwani lazima? kwanza kila mwanamke anazaliwa na Degree yake zile za shuleni ni ziada tu ukipenda mwenyewe, au mnadhani na yeye anataka kuwa kama Asha Rose Migiro?
Hivi Degree ya Jokate ina thamani kwenda kukivulia chupi kile kitoto Diamond? (Msianiambie mapenzi hayabagui wala hayachagui)
Huyu binti amewashangaza wengi hasa ndugu zake kwa kitendo chake cha kukataa ushauri wa kwenda shule. Mtoto huyu mpemba mwenye matusi, anahusudisha uhuni tu anajisahau kuwa ujana una mwisho, hivyo vipindi vyake vya hovyo itafika muda itabidi atolewe kwa kuwa ujana utakuwa umekwisha.
Familia kwa kuliona hili walimshauri aende shule akaongeze elimu zaidi, kwa sasa elimu yake ni Form IV Div 4 points 33. Ana elimu isiyopimika ya english course na hodari wa sigara zetu za Temeke.
Wadau, madam Ritta, na Master J mshaurini huyo bint azingatie ushauri wa familia yake.
Uzoefu unaonesha watu wenye elimu za wastani ndio wanaofanya mambo makubwa hapa Duniani, Drogba, Ronaldo, Madona, Jayzee hakuna hata mwenye degree hapo, je kuna mwenye degree wa kutia pua hapo?
Uzoefu unaonesha watu wenye elimu za wastani ndio wanaofanya mambo makubwa hapa Duniani, Drogba, Ronaldo, Madona, Jayzee hakuna hata mwenye degree hapo, je kuna mwenye degree wa kutia pua hapo?
Hii nimeipenda, pamoja na PhD zao wana-park gari pembeni akiwa anapita...Hivi hawamwoni Salma, ana degree ngapi na barabarani tunampisha?
Uzoefu unaonesha watu wenye elimu za wastani ndio wanaofanya mambo makubwa hapa Duniani, Drogba, Ronaldo, Madona, Jayzee hakuna hata mwenye degree hapo, je kuna mwenye degree wa kutia pua hapo?
Hahahahaaaaa!!!umenikumbusha ule msemo wa kwenye bible "ondoa kwanza boriti ..."hahahaaaa!!!Kama husukumwi na Chuki ...utakuwa una Upendo kweli na Salama...sina Hakika kama umeanza kuwasukuma familia yako kuhusu kusuma. charity begins at Home...basi sawa
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums