Mchungaji wa muda wote AFCON, magoli 18.
Watoto wa juzi utawajua tu.Etoo ni zaidi ya legend Afrika kwanini asipate hiyo heshima?Wakuu huyu jamaa mwanzo mwisho amekuwa jukwaa la VIP,tena kiti special ,hata ile kombe ndo alileta mezani,kwanini huyu jamaa kachaguliwa kuliko wachezaji wote waliopita au kuliko wote waliostaafu?
Mchungajiwa muda wote AFCON, magoli 18.
Si kweli Best player alikuwa ni Rigobert Song (2002) na Lauren (2000) Mboma hajawahi,Ni overrated tu, hana record yoyote ya mana. izo 18 goals most of them ni penalties tu.
Patrick mboma anastahiki heshima zaidi kuliko yeye. mana ndie aliekua Best player kwenye ile Cameroon iliyobeba mataji.
Si kweli Best player alikuwa ni Rigobert Song (2002) na Lauren (2000) Mboma hajawahi,
Na sidhani Kama Kuna Mtu mwenye akili timamu anayeweza kumfananisha Etoo na Mboma, Mboma kawika muda mfupi tu na kupotea Kama wachezaji wengine wa Kia Africa, Etoo amekaa Top level kwa muda mrefu Sana,
1996 Etoo anaanza career Real Madrid na 2015 Anaondoka Everton, Miaka 20 ya Top level Akicheza Timu Kama Madrid, Barcelona, Inter Milan, Chelsea, etc akibeba makombe kibao Kama Champions league 3 na Makombe ya ligi ya kutosha.
Hata kwenye Afcon 2006 na 2008 zote Top scorers ni yeye na Hata hizo 2000 na 2002 akiwa Kama kinda pia alitupia Goli za kutosha, 2000 alitupia Goli 4.
Amefunga michuano 6 Tofauti Tofauti ya Afcon, ni Yeye, Gyan na Kalusha Bwalya pekee wenye Rekodi hii. Ndio top Goalscorers of All Time na Magoli 18,
Ni mwaka gani Etoo aliibeba Cameroon nakuwa bingwa Africa? hayo mafanikio ya ulaya hayana uhusiano na mashindano ya Africa.
Mboma alikua ndie Super Star wa Cameroon walipotowa ubingwa mara mbili mfululizo. Na Etoo alikuana role ndogo sana kwenye ile timu. Kuwa Laurent alishinda uchezaji bora haiondoi ubora wa Mboma kwenye timu. Hata Mahrez wala Feghouli hakuna aliyeshinda uchezaji bora.
Fainali 2000 mechi Kati ya NiGeria na Cameron ilioisha 2-2 na mechi ya Fainali wafungaji ni Mboma na Etoo, Etoo akifunga Goli moja na kutoa pasi ya Goli kwa Mboma.Ni mwaka gani Etoo aliibeba Cameroon nakuwa bingwa Africa? hayo mafanikio ya ulaya hayana uhusiano na mashindano ya Africa.
Mboma alikua ndie Super Star wa Cameroon walipotowa ubingwa mara mbili mfululizo. Na Etoo alikuana role ndogo sana kwenye ile timu. Kuwa Laurent alishinda uchezaji bora haiondoi ubora wa Mboma kwenye timu. Hata Mahrez wala Feghouli hakuna aliyeshinda uchezaji bora.
Fainali 2000 mechi Kati ya NiGeria na Cameron ilioisha 2-2 na mechi ya Fainali wafungaji ni Mboma na Etoo, Etoo akifunga Goli moja na kutoa pasi ya Goli kwa Mboma.
Niambie wewe mkuu mechi ya Fainali timu yako inafunga Goli 2 wewe unafunga Goli 1 na assist moja huko sio kuibeba?
Angalia video hii man of the match performance Toka kwa Etoo fainali 2000.
1. Eder kafunga Goli 1 Etoo kafunga 4 michuano mizimaEder alifunga goli lililoipa ubingwa wa Ulaya Portugal. Haimaanishi kua yeye alikua mchezaji mkubwa kwenye ile timu.
Kikosi cha Cameroon cha akina Mboma, Song, Laurent, Foe Etoo alikua ni dogo fulani tu hivi mwenye mchango wakawaida tu kwenye timu.
1. Eder kafunga Goli 1 Etoo kafunga 4 michuano mizima
2. Eder kafunga Goli 1 fainali Etoo kafunga Goli na Kutoa Assist
3. Eder kafunga Goli Tu, Etoo kawakimbiza mwanzo mwisho,
Top scorers wa Afcon 2000 alikuwa ni Shaun Bartlet wa Africa kusini na wa pili ni Etoo na Mboma wakifungana magoli 4,
mwaka 2000 Etoo ana miaka Miaka 19 tu Hata maziwa hayajakauka vizuri mdomoni na hio ilikuwa ni impact yake.
Kwa wakati huo alikuwa dogo fulani tu kama ulivyosema lakini baada ya miaka kadhaa amekuwa mtu mkubwa na mwenye mafanikio katika soka la Afrika kiasi kuwa Yale aliyoyafanya wakati akiwa dogo fulani ndani ya timu enzi hizo nayo yamejumlishwa kwenye mafanikio yake EtoEder alifunga goli lililoipa ubingwa wa Ulaya Portugal. Haimaanishi kua yeye alikua mchezaji mkubwa kwenye ile timu.
Kikosi cha Cameroon cha akina Mboma, Song, Laurent, Foe Etoo alikua ni dogo fulani tu hivi mwenye mchango wakawaida tu kwenye timu.
Hivi kuwa top scorers Mara mbili mfululizo unaona ni Jambo Dogo? Kuwa mfungaji Bora All time ni Jambo Dogo? Hata hao ma great kina Maradona, Pele, zidane Etc sio kwamba kila wakicheza wanabeba kombe,Hapo baada ya maziwa kukauka alifanya nini? Cup walizoshinda akina Mboma na wenziwe ndio mafanikio yake pekee ndani ya Timu ya taifa.
Hivi kuwa top scorers Mara mbili mfululizo unaona ni Jambo Dogo? Kuwa mfungaji Bora All time ni Jambo Dogo? Hata hao ma great kina Maradona, Pele, zidane Etc sio kwamba kila wakicheza wanabeba kombe,
2006 Etoo kawa mfungaji Bora na kaipeleka timu yake Hadi fainali ila wakafungwa na Timu Bora zaidi Egpty,
Huwezi mlaumu Etoo kwa kutokuwa na kipa mzuri, huwezi mlaumu Etoo kwa uzembe alioufanya Song etc yeye katimiza majukumu yake kwa kuhakikisha almost kila mechi anatupia Goli. 2006 na 2008 pekee ametupia Goli 10,
Na Hata Huyo Mboma kacheza michuano mingi ya Afcon kabla ya 2000 (kipindi Etoo hayupo) na hajawahi chukua.