Kwanini Saudi Arabia wameanzisha miradi ya umeme wa Jua?

Kwanini Saudi Arabia wameanzisha miradi ya umeme wa Jua?

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
48,475
Reaction score
70,102
Hili Taifa lina mafuta na gesi ya kutosha ila sasa wameingia na kwenye miradi ya umeme wa jua!

Umeme wanaozalisha kupitia jua ni sawa na umeme wote tunaozalisha hapa kwetu kupitia maji!

Screenshot_20241025-065404_X.jpg
 
Hili Taifa lina mafuta na gesi ya kutosha ila sasa wameingia na kwenye miradi ya umeme wa jua!

Umeme wanaozalisha kupitia jua ni sawa na umeme wote tunaozalisha hapa kwetu kupitia maji!

View attachment 3134610
Ondoa hilo neno "kwanini" weka kama
Taarifa tu. Unless uniambie kuwa una IQ ndogo kias hicho cha kushindwa kujua. Wao wako jangwan Jua ni chanzo kimoja cha Energy chenye gharama nafuu za uendeshaji zaid ya hata chanzo kingine cha energy

Kuwa na mafuta haiwazuii kutumia technology mbadala ya kuzalisha Energy.. hata maji ya bahari wakiweza kujua jinsi ya kuyatumia watatumia kuzalisha umeme

Watu hawawazi kuhusu leo kama waafrika mnavyowaza.. wanazawa kuhusu 100 years to come.. hayo mafuta hayatakaa milele na kwa ukuaji wa Teknolojia wa sasa yanaweza yakashushwa bei na gunduzi zingine zenye gharama nafuu. Kitu kitakachofanya mapato ya Nchi yakashuka kitu kitakachoathiri mfumo wao wa maisha

So ni lazima kuwa na Plan B hata C sikuzote. Ndio maana pamoja na kuwa jangwan wanawekeza kufanya hiyo Nchi iwe tourist destination and Tenchology hub ya dunia.. kwa kujenga kila aina ya vitu vilivyopo Europe na wao wanataka wawe navyo.. lengo ni to keep foreign revenue coming in many ways sio oil peke yake

Nchi za Africa zebye mafuta the likes of Guine, Nigeria tumeng'ang'a mafuta na Utalii wa Asili. Ndio maana bei za mafuta zikishuka nchi inataabika.. maana 70% - 90% ya pato lao wanategemea mafuta
 
Ukiwa na pesa hata nyumba yako itajaa kila kitu.. feni air conditioner pasi,washing machine, dish washer ving'amuzi vyote n.k

Saudia wanataka Green energy mbs kapiga picha ya mbeleni sana japo amewahi sana ila kupunguza matumizi ni akili tu... kwa Saudi Arabia issue hii haina umuhimu kivile ila to show the world kuwa brain ipo pale. Muige.. na muache kulia lia
 
Wanaenda na wakati sisi bado tunahangaika na jembe la mkono
Wao kila kinapotoka kitu ndio wa kwanza kukimbilia na kununua na baadae watakuwa na viwanda vya kutengeneza kabisa

Hata maji ya bahari wanakunywa kwa kuyafanyia desalination
Na ni matamu tu
Ila sisi maji ya ziwa matamu tena sio moja na hatuwezi kuyatumia
Tuamke kwani bado tumelala usingizi
 
Ni pesa tu ,wao ndio wanawafanya Ulaya na USA kuwa matajiri kwa kuwapa kandarasi nyingi nyingi kila leo,Ndio wanaowapa ajira ULAYA na USa viwanda vyao viendelee kuwepo.
Hushangai wananunua magari ya umeme wakati wao mafuta mengi.na magari wanayonunua ni 0 KM kwa bei ghari sana.
 
Wamegundua kuwa Hydro Carbon inaenda kwisha sasa wanajipanga upya.
 
Back
Top Bottom