Kwanini Scamming issue zinafanikiwa sana Tanzania?

kama ni kweli huwaga unasema umesoma accountancy... lazma pia ulisoma International Finance yet huijui FOREX aiseee unayo matatizo kuiona kama ni scamming
 
watu hawa wawili yaani huyu anatumia jina Troll JF na mwenzake anaeitwa FRESHMAN.

Hawa watu nilicho ki notice kwao hawana tatizo na forex bali wana wivu mkubwa sana kwa ONTARIO na ni dhairi kabisa bwana mdogo kawazidi akili na pesa kwa mbali mmno na hilo linawauma.

Na hili kuthibitisha hawa wawili wanasumbuliwa na wivu na uchawi ndani yao, angalia kila mmoja amewahi kuanzisha thread kwa nyakati tofauti na zote zikimlenga ONTARIO kwa hii training yake ya forex.

Angalia comments zao kwenye threads zina aina hii.

Hii thread imekaa kipuuzi na ni kiashiria cha umaskini mkubwa wa mleta mada pole sana kibaraka wa Lumumba ni dhairi bado una struggle sana kwenye life.

Yaani unashangaa ONTARIO kuwa na possibility kuingiza 52m kwa mwezi, wakati kuna watu hiyo hela wanaingiza kwa seminar!?

Wivu,uchawi na chuki sio mzuri kwa afya ya akili yako. Kama vipi hata wewe unaweza Kuanzisha program yoyote hili ku scam raia uingize hiyo milioni 52 kwa mwezi.
 
kama ni kweli huwaga unasema umesoma accountancy... lazma pia ulisoma International Finance yet huijui FOREX aiseee unayo matatizo kuiona kama ni scamming
Huyu mpuuzi hana chochote kichwani na ni choka mbaya haswa ana bandiko lake humu ana tafuta kazi, hiyo ni wazi kabisa haajiriki ndio maana muda wote yuko humu kupiga majungu na kutetea mashudu ya chama cha kijani. Fara sana huyu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…