Lost ya kina Sawyer??Hii LOST sijaona mwisho wake.
Ndiyo ndiyo na jamaa yako John/ Locke au Desmond mzee wa imagination.Lost ya kina Sawyer??
Hii iliisha kitambo mzee baba. Ilikuwa na Season 6. Mimi niliicheki mwaka 2016 wakati ule kuna zile site za kudownload kwa kuandika index of lost season 4 labda, inakuletea episodes zote. Pita kwenye library za karibu na vyuo vikuu utaipata, au ingia telegram ujipakulie wew mwenyeweNdiyo ndiyo na jamaa yako John/ Locke au Desmond mzee wa imagination.