malisak
JF-Expert Member
- Mar 16, 2006
- 694
- 775
Kinachowapelekea watu kujireko video za utupu wawapo faragha ni kitu gan? Tena ikitokea mmeachana mmoja taamua kuachilia picha hizo kwanini tusitiriane?
Kwanza najiuliza unapokuwa na UPWIRU wako hivi nguvu ya kuanza kujirekodi unaitolea wapi? Maana najua utakuwa na KIMUHEMUHE cha kukata na mundu ili uweze kutii kiu yako huo uthubutu unautoa wapi sasa ukashika na simu na kutega Camera? Tuache mambo ya kuiga.