Tujiulize kama hakuna rushwa kwanini Serikali wanakuwa wagumu kukubali ushauri na kufanya marekebisho ya MOU kwa manufaa ya nchi. Mikataba ya baadae haitakuwa ya wazi! MOU ndiyo muhumu sana kufanyiwa marekebisho.
Watanzania hawapingi uwekezaji bali vifungu vya MOU!
Ukilinganisha maudhui utajuaHii ina uhusiano gani ya kurekebisha MOUView attachment 2674394
Kuna tetesi kwamba mwarabu ametoka dollar millioni 500 kwa TPA,kama ni kweli Kuna uwezekano mkubwa sehemu ya fedha hizo imetembezwa mjengoni kwa akina msukukuma and co.Kama wamekula hela ya mwarabu wairudishe haraka sana. Hatutaki mkataba wa kimangungo!
MOU imetoka wapi tena ?Tujiulize kama hakuna rushwa kwanini Serikali wanakuwa wagumu kukubali ushauri na kufanya marekebisho ya MOU kwa manufaa ya nchi. Mikataba ya baadae haitakuwa ya wazi! MOU ndiyo muhumu sana kufanyiwa marekebisho.
Watanzania hawapingi uwekezaji bali vifungu vya MOU!
Unatamani kama ungekuwa wewe vileMilele ni tamu sana hawataki kuitema.
CCM-CHUKUA CHAKO MAPEMA?Tujiulize kama hakuna rushwa kwanini Serikali wanakuwa wagumu kukubali ushauri na kufanya marekebisho ya MOU kwa manufaa ya nchi. Mikataba ya baadae haitakuwa ya wazi! MOU ndiyo muhumu sana kufanyiwa marekebisho.
Watanzania hawapingi uwekezaji bali vifungu vya MOU!
Hahaha, kucheka nako ni afya.Msaada wa Dola za Marekani milioni 500 kupitia Mkataba wa Makubaliano uliosainiwa kati ya Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) na kampuni ya usafirishaji ya DP World ya Dubai, utafadhili miradi mbalimbali inayolenga kuboresha ufanisi wa bandari za Tanzania. Kampuni hiyo ina utaalam wa usafirishaji wa mizigo, shughuli za bandari, huduma za baharini na maeneo ya biashara huria. Makubaliano ya msaada huo yalitiwa saini katika maonyesho ya Dubai Expo kati ya Mkurugenzi Mkuu wa TPA Eric Hamissi na Ofisa Mtendaji Mkuu wa DP World Sultan Ahmed Bin Sulayem na kushuhudiwa na Rais Samia Suluhu Hassan. Fedha za mkataba huo zitatumika katika kuendeleza bandari za Tanzania, zikilenga maeneo muhimu ya habari na mawasiliano, mifumo ya teknolojia (ICTs), mafunzo ya kuwajengea uwezo watumishi wa TPA na uboreshaji wa miundombinu ya bandari. Fedha hizo pia zinatarajiwa kuziwezesha bandari za nchi kuongeza uwezo wa kiushindani katika ngazi ya kikanda na kimataifa na kuboresha huduma.
Sent using Jamii Forums mobile app