Kwanini serikali haitaki kuwekeza kwenye elimu hasa ya mafundi simu?

Desierto

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2019
Posts
901
Reaction score
3,112
Hebu fikiria hizi picha hapo chini nimejifunza mwenyewe jinsi ya kutoa na kurudishia emmc hadi prosesa.

Je ningeweza kusoma na kufundishwa si ningekuwa mbali zaidi.

Wao kazi yao ni kuja tu kudai leseni kaa mafundi simu ila kutusaidia tuwe na ujuzi zaidi hawataki.

Mfate fundi simu yoyote kamuulizie kajifunzia wapi ufundi. hakuna aliyeenda shule na ndo maana tunakuwa na kesi nyingi huku mfaani kwa kuua vitu vya watu.

Kwa sasa naomba serikali iwekeze kwenye ujuzi wa ufundi simu kwa kuwa sasa unahitajika sana huo ujuzi.

Mimi nitapambana kujifunza tu online ila wapo wanatamani waanzie shuleni ila huko ujuzi wa kweli ni hakuna.

Inatakiwa mtu akimaliza tu kama ni sekondari basi asipoteze muda aingie moja kwa moja veta hii itasaidia sana kwa vijana kujiamini na hii kazi ya ufundi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…