Shida ya wasomi uchwara ni kukosoa bila hojaWasomi wa JF miyeyusho sana. Mwenzako kajipinda kawaletea watu mada, wewe baadala umkosoe kwa hoja kama usomi unavyotaka unakuja kugawa marks na kuulizia vyeti.
Nani asiyeweza kugawa marks sasa?
Yawezekana ndo amepatia maarifa hapa ila kwa sababu ya ego anajikuta anamfanyia offensive mtoa mada... hopeless kabisaWasomi wa JF miyeyusho sana. Mwenzako kajipinda kawaletea watu mada, wewe baadala umkosoe kwa hoja kama usomi unavyotaka unakuja kugawa marks na kuulizia vyeti.
Nani asiyeweza kugawa marks sasa?
Mpaka muda kimya!!Ningependa kusikia zaidi kwa wale walioishia kugawa marks kwa mleta mada. Napenda wakamilishe asilimia zilizobaki baada ya kumpatia marks mtoa mada kwa mfumo wa asilimia. Ningetamani kusikia nini ambacho mtoa mada kakosea au hajakizungumzia. Sitamani waishie kugawa marks bila kushare uzoefu wao katika mada hii.
😂😂 Elimu ya uchumi ni tamu sana.Karibu kila mtu amewahi kujiuliza swali hili.
Kwa nini serikali isi-print fedha nyingi na kuwagawia wananchi ili waondokane na umasikini?
Ni kweli, kila nchi ina uhuru wa kuamua ichapishe kiasi gani cha fedha na kukiingiza kwenye uchumi, ama tuite mizunguko ya fedha.
Lakini kama tunataka uchumi ufe leo leo, basi serikali ichapishe mapesa mengi na kuyaingiza kwenye mzunguko!
Ngoja tukufafanulie: Iko hivi; kinachofanya mtu aulize swali hili ni pale tu anapodhani ukuaji wa uchumi ni mabunda ya pesa kuwa mitaani.
Iko hivi: noti nyingi sio ukuaji wa uchumi hata kidogo. Yaani, pesa sio uchumi, wala sio utajiri, bali pesa ni kitu kinachosaidia tu kubadilisha bidhaa.
Sasa sikia: kama nchi ikitaka kuwa tajiri kwa ku-print hela nyingi na kuziruhusu ziingie mtaani, kuna mabalaa mawili:
La kwanza ni hyper-inflation, yaani mfumko mkubwa wa bei unaoweza kuporomosha uchumi kabisa.
Tuna nchi tatu duniani zilizowahi kufanya hili jambo.
Ujerumani, Venezuela na Zimbabwe.
Mwaka 2018, Venezuela walichapisha mihela, haraka nchi ikazama kwenye hyper-inflation. Mfano, kuku wa shilingi 5000 alipanda bei akauzwa milioni 15!
Mwaka 2008 hapo Zimbabwe, mabunda ya pesa yalichapishwa, mshahara wa mwalimu ukafika matrilioni kwa mwezi, lakini bei ya mkate pekee ikawa bilioni 300!
Bei ya pipi ikawa dola za Zimbabwe milioni 231!
Mwaka 1923 Ujerumani ilichanganyikiwa, wafanyakazi wakaongezewa mishara yao maradufu lakini haikufua dafu!
Ikawa balaa pale Ujerumani.
Swali ni kwa nini kuchapisha pesa nyingi kusababishe mfumuko wa bei?
Ni rahisi mno! Fikiri hapo ulipo una elfu hamsini pekee, kisha ukapewa milioni mia nane sasa hivi: Jambo la kwanza utakalofanya ni shopping. Utahakikisha unanunua kila ulichotamani siku nyingi!
Fikiri watu wote nchini wakagawiwa mapesa kama wewe. Kila mtu atakimbilia manunuzi.
Sasa, kinachofuata kwa haraka ni nini? Ni mfumko wa bei! Vitu vitapanda bei vibaya mno!
Kwa nini vipande bei? Kwa sababu kila mtu anakimbilia madukani kufanya manunuzi. Kila mtu amepewa 'purchasing power'. Kila mtu amekuwa mteja. Kila mtu yupo njiani kwenda kununua.
Bidhaa ni zile zile, ila pesa zimeprintiwa nyingi kuliko uzalishaji wa bidhaa na huduma za nchi husika. Puuuuu! Mfumuko wa bei utakaoporomosha kabisa uchumi!
Lakini usisahau, bidhaa zikipanda bei ni nini kinafuata? Thamani ya pesa kushuka haraka, kiasi ambacho watu hawatataka hata kuitumia.
Ngoja nikupe mfano: kuna mikate milioni mbili nchini nzima. Kila mkate unauzwa 1000. Mikate yote ni sh. bilioni mbili.
Ila nchi ikaprint mapesa mengi kupitiliza na kuyaingiza mitaani. Matokeo yake, watu wakaanza kununua mikate hadi wale waliokuwa wakichemsha viazi wanavyolima shambani kwao watatamani wabadilishe mlo.
Hata wale waliokuwa wakinunua mkate mmoja watataka kununua mikate kumi. Baada ya saa chache, mikate haitauzwa tena sh 1000 mkate mmoja utauzwa 100,000!
Wafanyakazi wataandamana kutaka mishara iongezwe, kila mahali itakuwa ni fujo, nchi haitatawalika, kisa ni nini, serikali imeprint hela nyingi na kuziingiza kwenye mzunguko.
Uchumi kukua ni nini? Sio mabunda ya pesa! Mabunda ya pesa ni kujidanganya kuwa ni uchumi umekua.
Kumbe uchumi kukua ni pale tu uzalishaji wa bidhaa na huduma utakapoongezeka, sio nje ya hapo hata kidogo!
Ndio maana serikali huchapisha pesa kiwango cha asilimia 2-3 tu ya pato la ndani, yaani GDP.
Raphael Mtui 0762731869
Asilimia mia nakubaliana na wewe. Mm pesa zangu huwa nazipa majinaTumia hiyo hata kwenye maisha yakawaida itakusaidia hiyo. Usirudike hela ndan
Mkuu hata mm hili jambo huwa linanikela sana.Wasomi wa JF miyeyusho sana. Mwenzako kajipinda kawaletea watu mada, wewe baadala umkosoe kwa hoja kama usomi unavyotaka unakuja kugawa marks na kuulizia vyeti.
Nani asiyeweza kugawa marks sasa?
Wanajifanyaa lecture,Ningependa kusikia zaidi kwa wale walioishia kugawa marks kwa mleta mada. Napenda wakamilishe asilimia zilizobaki baada ya kumpatia marks mtoa mada kwa mfumo wa asilimia. Ningetamani kusikia nini ambacho mtoa mada kakosea au hajakizungumzia. Sitamani waishie kugawa marks bila kushare uzoefu wao katika mada hii.
Kwa ninavojua mimiKaribu kila mtu amewahi kujiuliza swali hili.
Kwa nini serikali isi-print fedha nyingi na kuwagawia wananchi ili waondokane na umasikini?
Ni kweli, kila nchi ina uhuru wa kuamua ichapishe kiasi gani cha fedha na kukiingiza kwenye uchumi, ama tuite mizunguko ya fedha.
Lakini kama tunataka uchumi ufe leo leo, basi serikali ichapishe mapesa mengi na kuyaingiza kwenye mzunguko!
Ngoja tukufafanulie: Iko hivi; kinachofanya mtu aulize swali hili ni pale tu anapodhani ukuaji wa uchumi ni mabunda ya pesa kuwa mitaani.
Iko hivi: noti nyingi sio ukuaji wa uchumi hata kidogo. Yaani, pesa sio uchumi, wala sio utajiri, bali pesa ni kitu kinachosaidia tu kubadilisha bidhaa.
Sasa sikia: kama nchi ikitaka kuwa tajiri kwa ku-print hela nyingi na kuziruhusu ziingie mtaani, kuna mabalaa mawili:
La kwanza ni hyper-inflation, yaani mfumko mkubwa wa bei unaoweza kuporomosha uchumi kabisa.
Tuna nchi tatu duniani zilizowahi kufanya hili jambo.
Ujerumani, Venezuela na Zimbabwe.
Mwaka 2018, Venezuela walichapisha mihela, haraka nchi ikazama kwenye hyper-inflation. Mfano, kuku wa shilingi 5000 alipanda bei akauzwa milioni 15!
Mwaka 2008 hapo Zimbabwe, mabunda ya pesa yalichapishwa, mshahara wa mwalimu ukafika matrilioni kwa mwezi, lakini bei ya mkate pekee ikawa bilioni 300!
Bei ya pipi ikawa dola za Zimbabwe milioni 231!
Mwaka 1923 Ujerumani ilichanganyikiwa, wafanyakazi wakaongezewa mishara yao maradufu lakini haikufua dafu!
Ikawa balaa pale Ujerumani.
Swali ni kwa nini kuchapisha pesa nyingi kusababishe mfumuko wa bei?
Ni rahisi mno! Fikiri hapo ulipo una elfu hamsini pekee, kisha ukapewa milioni mia nane sasa hivi: Jambo la kwanza utakalofanya ni shopping. Utahakikisha unanunua kila ulichotamani siku nyingi!
Fikiri watu wote nchini wakagawiwa mapesa kama wewe. Kila mtu atakimbilia manunuzi.
Sasa, kinachofuata kwa haraka ni nini? Ni mfumko wa bei! Vitu vitapanda bei vibaya mno!
Kwa nini vipande bei? Kwa sababu kila mtu anakimbilia madukani kufanya manunuzi. Kila mtu amepewa 'purchasing power'. Kila mtu amekuwa mteja. Kila mtu yupo njiani kwenda kununua.
Bidhaa ni zile zile, ila pesa zimeprintiwa nyingi kuliko uzalishaji wa bidhaa na huduma za nchi husika. Puuuuu! Mfumuko wa bei utakaoporomosha kabisa uchumi!
Lakini usisahau, bidhaa zikipanda bei ni nini kinafuata? Thamani ya pesa kushuka haraka, kiasi ambacho watu hawatataka hata kuitumia.
Ngoja nikupe mfano: kuna mikate milioni mbili nchini nzima. Kila mkate unauzwa 1000. Mikate yote ni sh. bilioni mbili.
Ila nchi ikaprint mapesa mengi kupitiliza na kuyaingiza mitaani. Matokeo yake, watu wakaanza kununua mikate hadi wale waliokuwa wakichemsha viazi wanavyolima shambani kwao watatamani wabadilishe mlo.
Hata wale waliokuwa wakinunua mkate mmoja watataka kununua mikate kumi. Baada ya saa chache, mikate haitauzwa tena sh 1000 mkate mmoja utauzwa 100,000!
Wafanyakazi wataandamana kutaka mishara iongezwe, kila mahali itakuwa ni fujo, nchi haitatawalika, kisa ni nini, serikali imeprint hela nyingi na kuziingiza kwenye mzunguko.
Uchumi kukua ni nini? Sio mabunda ya pesa! Mabunda ya pesa ni kujidanganya kuwa ni uchumi umekua.
Kumbe uchumi kukua ni pale tu uzalishaji wa bidhaa na huduma utakapoongezeka, sio nje ya hapo hata kidogo!
Ndio maana serikali huchapisha pesa kiwango cha asilimia 2-3 tu ya pato la ndani, yaani GDP.
Raphael Mtui 0762731869
Umetoa elimu nzuri sana. Na kwa kweli nimeipenda. Lakini hukujikita katika kujibu swali husika, wala hukusema chochote kuhusu majibu niliyotoa mimi.Kwa ninavojua mimi
-UCHUMI WA TAIFA UNAKUZWA NA FEDHA ZA KIGENI (FOREIGN CURRENCY)
- TAIFA LINAPATA FEDHA ZA KIGENI KWA KUTENGENEZA HUDUMA AU BIDHAA ITAKAYOWAVUTIA WAGENI WAJE WAZITAFUTE HiZO HUDUMA AU BIDHAA MF VIVUTIO VYA KITALII (HIVI NI NATURAL/ARTIFICIAL), TECHNOLOGIES NA BIDHAA MBALIMBALI AMBAZO NCHI MOJA INAWEZA ZIFATA NCHI NCHI NYINGINE.
-ILI NCHI FLAN IPATE HUDUMA AU BIDHAA KUTOKA NCHI NYINGINE ITS OBVIOUS NI LAZIMA WALIPE KURINGANA NA PRICE ILOYOSETIWA NA NCHI HUSIKA (MUUZAJI) NA THAMANI YA PESA YA NCHI HUSIKA WITH RESPECT NA THAMANI YA CURRENCY YA NCHI HIYO KATIKA SOKO LA HISA.
-ISHU KUBWA SASA NI HII, IKITOKEA NCHI HUSIKA INATOA HUDUMA AU BIDHAA AMBAYO NI ADIMU DUNIANI (scarce) BASI DEMAND YAKE ITAONGEZEKA KIMATAIFA KWAHIYO MATAIFA YATASHINDANA KIBEI KATIKA KUZINUNUA HIZO HUDUMA AU BIDHAA NA HAPA NDO UCHUMI WA NCHI HUSIKA UTAPAA VIWANGO.
-KATIKA HALI HII WHEN ALL FACTORS ARE KEPT CONSTANT, NCHI HUSIKA INAWEZA KUAMUA KWAMBA ILI MGENI APATE DAWA YA MSHIPA WA NGIRI NI LAZIMA ALIPIE KWA DOLA (KWASABAB NI STRONG CURRENCY DUNIANI) HAYA MUDA HUO DAWA HIYO INAPATIKANA TANZANIA TU DUNIANI KOTE HAPO MATAIFA YOTE YATAINGIA SOKONI KUNUNUA DOLA ILI WAPATE DAWA TANZANIA SASA HAPA NDO WINNING POINT YA TAIFA KWANI MATAIFA YATATAFUTA DOLA NA KUILETA TANZANIA ILI YAPATE DAWA HIYO, MWISHO WA SIKU TANZANIA ITAKUWA NA STOCK KUBWA YA DOLA CURRENCY AMBAYO NI STRONG NA WIDELY ACCEPTED DUNIANI KATIKA MASOKO YA HISA.
-KUWEPO KWA STOCK KUBWA YA DOLA NCHINI KUTALIFANYA TAIFA LIWEZE KUWA IMARA KATIKA SOKO LA HISA KWANI LITAKUWA LINAMILIKI KIASI KIKUBWA SANA CHA SARAFU AMBAYO NI IMARA DUNIANI.
-INAPOTOKEA DAWA HII IKAWA ADIMU ZAIDI NA IKAWA INATAFUTWA ZAIDI DUNIANI BASI MWISHO WA SIKU DOLA ZITAZID KUPUNGUA SOKONI NA HUKU ZITAZID KUONGEZEKA TANZANIA KWAHYO ZIKIPUNGUA SOKONI MAANA YAKE DEMAND YAKE ITAONGEZEKA HAPO NDO MTANZANIA ATAIRUDISHA SOKONI KUIUZA KWA BEI YA JUU KULIKO JINSI ALIVYOIPATA.
-IKISHAKUWA HIVO SASA, TAIFA LITAPATA PESA NYINGI ZA KIGENI KODI ZITAKUSANYWA ZA KUTOSHA NA ENDAPO ZIKIDHIBITIWA VIZURI NDO UTAONA MA FLY OVER NA MAGHOROFA NA MA MIUNDOMBINU YANAOTA KAMA UYOGA MWISHO WA SIKU UMASIKINI KATIKA TAIFA UNAPUNGUA KAMA SIYO KUONDOKA KABISA.
USHAURI KWA TAIFA
-KIKUBWA NI KUBUNI NI JINSI GANI TUTAZALISHA HUDUMA NA BIDHAA AMBAZO ZITAVUTA PESA ZA KIGENI DAWA NI HII TU
Kuchapisha pesa kunasababisha mgumuko wa bei na sarafu kushuka thamani sikuzungumzia hilo kwasabab ni concept nyepesi na laini sana mtu yeyote anaweza ing'amuaUmetoa elimu nzuri sana. Na kwa kweli nimeipenda. Lakini hukujikita katika kujibu swali husika, wala hukusema chochote kuhusu majibu niliyotoa mimi.