#COVID19 Kwanini Serikali hawajazuia mikusanyiko masokoni, minadani, shuleni, Baa, mbio za Mwenge n.k?

#COVID19 Kwanini Serikali hawajazuia mikusanyiko masokoni, minadani, shuleni, Baa, mbio za Mwenge n.k?

Nimeona hata hiyo level seat haizingatiwi kabisa kwenye daladala watu wamesimama kama kawaida.
 
Inafikirisha sana kuona dawa za wazee hospitalini hamna, wagonjwa wa ukimwi hawana huduma dhabiti na hata panadol tu zenyewe hazitoshi na hakuna jitihada ktk haya ila inaletwa chanjo mamilioni ya mamia tena bure na watu wanalazimishwa, ni kwann hawa wapendwa wetu wasianze na huduma hizi muhimu ktk jamii yetu tena zikatolewa kwa kasi ile ile kama chanjo za corona?
 
chanjo sio huduma ya muhimu?
 
Lawama Zote Ccm
Mbio za mwenge ni sehemu rahisi ya kuwamega MADAS na MADED, DC warembo hivyo hatuwezi iondoa mbio ya mwenge....

Ama shule kufungwa muulize Ndalichako.

Baada hatufungi ndio sehemu ya kuondolea mawazo baada ya kazi nzito za wizi kupitia TOZO za miamala.
 
Serikali ipi?Vibaka walioingia madarakani kwa kupora chaguzi wanaitwa ni serikali?Umechanganyikiwa?Umewehuka?!Watanzania ni matahira walahi!🚶🚶🚶
7nbv654311.jpg
 
Naomba ushangae

Wanalazimisha leve seats katika vyombo vya usafiri ambapo kiti kimoja na kingine ni sentimita kadhaa tu. Lakini hawajazuia masoko, minada shuleni, Bar, disko, huko nako vipi?

Hawa viongozi ni ashiki za kisiasa au akili zeenda likizo.?
Waziri anaitwa Gwajima.... Hapo unategemea nini!!?
 
Ngebe, jitahidi kuelewa hoja yangu. Nimeuliza swali kwasababu haya maradhi na usumbufu vipo miaka nenda rudi na bado hakuna initiative katika kusolve na intensively kama kwa corona. Of course chanjo ni muhimu kulingana kipi unakiamini as chanjo si ugonjwa so kuamini inakinga ama haikingi ni ishu nyingine. Nachoongelea mie ni kwa yale yaliyopo na ndo jamii inahitaji zaidi kuliko hizo chanjo na hii kile kinachopimika mtaani. Kwanini hakuna dozi za bure na za kutosha kwa hiv victims? Kwanini dozi za wazee haziwi available throughout kama ilivyo chanjo ya corona?
 
Naomba ushangae

Wanalazimisha leve seats katika vyombo vya usafiri ambapo kiti kimoja na kingine ni sentimita kadhaa tu. Lakini hawajazuia masoko, minada shuleni, Bar, disko, huko nako vipi?

Hawa viongozi ni ashiki za kisiasa au akili zeenda likizo.?
Misibani na nyumba za ibada pia bado nyomi kama zote!
 
Naomba ushangae

Wanalazimisha leve seats katika vyombo vya usafiri ambapo kiti kimoja na kingine ni sentimita kadhaa tu. Lakini hawajazuia masoko, minada shuleni, Bar, disko, huko nako vipi?

Hawa viongozi ni ashiki za kisiasa au akili zeenda likizo.?
Stunts za korona ni za kupiga mpunga tu na kuwa appeal wazungu hakuna kitu hapo. Tunasisitiza chanjo na hakuna njia mbadala zilizoko chini zinazofanya kazi kupunguza au kuepusha maandamano. They never serious tunaenda enda tu kama mang'ombe

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom