Jasusi Uchwara
Member
- Aug 12, 2021
- 64
- 117
chanjo sio huduma ya muhimu?Inafikirisha sana kuona dawa za wazee hospitalini hamna, wagonjwa wa ukimwi hawana huduma dhabiti na hata panadol tu zenyewe hazitoshi na hakuna jitihada ktk haya ila inaletwa chanjo mamilioni ya mamia tena bure na watu wanalazimishwa, ni kwann hawa wapendwa wetu wasianze na huduma hizi muhimu ktk jamii yetu tena zikatolewa kwa kasi ile ile kama chanjo za corona?
Mbio za mwenge ni sehemu rahisi ya kuwamega MADAS na MADED, DC warembo hivyo hatuwezi iondoa mbio ya mwenge....Lawama Zote Ccm
Waziri anaitwa Gwajima.... Hapo unategemea nini!!?Naomba ushangae
Wanalazimisha leve seats katika vyombo vya usafiri ambapo kiti kimoja na kingine ni sentimita kadhaa tu. Lakini hawajazuia masoko, minada shuleni, Bar, disko, huko nako vipi?
Hawa viongozi ni ashiki za kisiasa au akili zeenda likizo.?
Misibani na nyumba za ibada pia bado nyomi kama zote!Naomba ushangae
Wanalazimisha leve seats katika vyombo vya usafiri ambapo kiti kimoja na kingine ni sentimita kadhaa tu. Lakini hawajazuia masoko, minada shuleni, Bar, disko, huko nako vipi?
Hawa viongozi ni ashiki za kisiasa au akili zeenda likizo.?
Stunts za korona ni za kupiga mpunga tu na kuwa appeal wazungu hakuna kitu hapo. Tunasisitiza chanjo na hakuna njia mbadala zilizoko chini zinazofanya kazi kupunguza au kuepusha maandamano. They never serious tunaenda enda tu kama mang'ombeNaomba ushangae