Kwanini Serikali hufanya mambo nyeti bila kupata public opinion?

inchaji

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2019
Posts
2,427
Reaction score
4,944
Inashangaza na kusikitisha lakini ni kweli. Serikali imekuwa ikijiita sikivu lakini nyuma ya pazia masuala mengi tu yanayohitaji public opinion kabla ya yamekuwa yakitekelezwa kienyeji.

Tozo miamala ya simu
Chanjo ya korona
Kitabu cha historia ya tanzania
Ununuzi wa ndege
SGR

endelea...

Kwa maoni yangu Serikali ya Tanzania inadharau wananchi. Iache upuuzi huu maana kizazi cha wajinga kinazidi kutoweka.
 
Utawala uliopita ulijiweka wazi kuwa wenyewe haufanyi mambo kwa kupangiwa, utawala uliopo umejiweka wazi kuwa hauna utofauti na ule uliopita...

"Mimi na Magufuli ni kitu kimoja....", mwisho wa nukuu
 
inashangaza na kusikitisha lakini ni kweli. serikali imekuwa ikijiita sikivu lakini nyuma ya pazia masuala mengi tu yanayohitaji public opinion kabla ya yamekuwa yakitekelezwa kienyeji.

tozo miamala ya simu
chanjo ya korona
kitabu cha historia ya tanzania
ununuzi wa ndege
SGR

endelea...

kwa maoni yangu serikali ya tanzania inadharau wananchi. iache upuuzi huu maana kizazi cha wajinga kinazidi kutoweka.

Wako pia madarakani bila ridhaa ya wananchi. Kama mtu kaingia madarakani kwa kura za uongo, unatarajia athubutu kwenda kwa wananchi kutaka majadiliano?
 
inashangaza na kusikitisha lakini ni kweli. serikali imekuwa ikijiita sikivu lakini nyuma ya pazia masuala mengi tu yanayohitaji public opinion kabla ya yamekuwa yakitekelezwa kienyeji.

tozo miamala ya simu
chanjo ya korona
kitabu cha historia ya tanzania
ununuzi wa ndege
SGR

endelea...

kwa maoni yangu serikali ya tanzania inadharau wananchi. iache upuuzi huu maana kizazi cha wajinga kinazidi kutoweka.
Kitabu kishaingia sokoni ?
 
tunayo matatizo mawili makubwa mpaka sasa.
1. tatizo la kisheria ikiwemo katiba na sheria zake. ( hili suluhisho ni elimu)
2. tatizo la kiutashi au utumwa asilia. yan bado chembechembe za utawala wa kifalme au mukama, za asili zinatusumbua.
watu ni watumwa abi initio.( hili suluhisho ni elimu)
 
Ukiona mchawi anakutakia mema ujijue wewe si wakawaida au kakuchorea mstari kuwa huvuki upande wa pili. Utanielewa utakapokuwa mkubwa.
 
Opinion wanaipata kutoka kwenye chama chakavu.....
 
Hilo ni tatizo la serikali kutawaliwa na PhD holders watupu

Wanaamini wananchi ni wajinga na hamuwezi kuwashauri kitu chochote wao na maPhD yao.
 
tunayo matatizo mawili makubwa mpaka sasa.
1. tatizo la kisheria ikiwemo katiba na sheria zake. ( hili suluhisho ni elimu)
2. tatizo la kiutashi au utumwa asilia. yan bado chembechembe za utawala wa kifalme au mukama, za asili zinatusumbua.
watu ni watumwa abi initio.( hili suluhisho ni elimu)
Ni kweli kiongozi. Hata mimi huwa naona hivyo. Hata tunavyochangia humu utaona tu hili tatizo linajitokeza mara kwa mara.
 
Very nice topic hili la tozo pia lingechunguzwa kabla ya kupeleka bungeni
 
There is a thin line between what is right and what is popular...
 
inashangaza na kusikitisha lakini ni kweli. serikali imekuwa ikijiita sikivu lakini nyuma ya pazia masuala mengi tu yanayohitaji public opinion kabla ya yamekuwa yakitekelezwa kienyeji.

tozo miamala ya simu
chanjo ya korona
kitabu cha historia ya tanzania
ununuzi wa ndege
SGR

endelea...

kwa maoni yangu serikali ya tanzania inadharau wananchi. iache upuuzi huu maana kizazi cha wajinga kinazidi kutoweka.
Matokeo ya katiba mbovu.
 
Ni kweli kiongozi. Hata mimi huwa naona hivyo. Hata tunavyochangia humu utaona tu hili tatizo linajitokeza mara kwa mara.
hii hali haiko hivi kwa bahati mbaya bali ni ubunifu wa mwl nyerere na zidum fikra za mwenyekiti. matokeo yake mtu anazaliwa hadi kumaliza chuo bado hajakombolewa kifikra mana hajui haki na wajibu wake kwake na Taifa. kuna haja elimu ya uraia hasa katiba kama sheria mama ianzie primary school. tumechagua kutawalana kidemokrasia lakin hatujui ina viini gani! ndo mana wasiojitambua hawez kutofautisha ubishan wa mpira na wa siasa. watawala wamefanikiwa kuaminisha raia weng kupitia ujinga wao kuwa serkali iko juu yao. kwamba hata inachofanya ni kwa hisan tu! mtu anasifu ujenz wa barabara kwa fedha zake kama vile ilibid ziliwe, kahurumiwa.
It sucks!
 
Inashangaza na kusikitisha lakini ni kweli. Serikali imekuwa ikijiita sikivu lakini nyuma ya pazia masuala mengi tu yanayohitaji public opinion kabla ya yamekuwa yakitekelezwa kienyeji.

Tozo miamala ya simu
Chanjo ya korona
Kitabu cha historia ya tanzania
Ununuzi wa ndege
SGR

endelea...

Kwa maoni yangu Serikali ya Tanzania inadharau wananchi. Iache upuuzi huu maana kizazi cha wajinga kinazidi kutoweka.
Vitu vingine vya kisayansi huwezi kutaka public opinion kwani si watanzania wote ni wana sayansi. Vingine kama kile cha tozo walitakiwa kuwa fair waweke tozo himilivu siyo ile ya kutukomoa. Pia wanatakiwa kuangalia priorities katika kutenda mambo kama kuboresha elimu/hospitali vs kununua ndege. Sijui kama kila kitu ikitaka public opinion itafanikiwa. Ila nakubaliana na wewe kuwa decision making yao si nzuri. Hawatumii weledi katika maamuzi yao.
 
Wanajiona wao wana hati miliki na hii nchi
Nalog off
 
Back
Top Bottom