daah...!mulichosema ni kweli wakuu tutarajie kufeli kwa la saba,form four na form two mwakani kwa kweli hii ratiba ya sensa si nzuri.my young bro yuko std 7 wao shule wanaenda ila analalamika shule hawasomi halafu wakifungua hiyo tar 10 sept mtihan wa taifa 12 na13 sasa tutarajie nini...otherwse nimemuanzishia home class kwa week.