Kwanini Serikali ilituficha kuugua kwa Dkt. Magufuli?

Kwani unahisi aliugua nini?
 
Mkuu jamaa alipokuwa anawaambia wananchi wake wakae na mavi yao nyumbani hukujua kuwa anaugua?
 
Kwa u communist huu tunaouiga ni nani angeuliza swali hilo !! Na hata ikitokea sasa wataficha .

Tena mbaya zaidi hao wawili uliowataja walijaribu kuliongelea kwa kudanganya umma . Mwingine alidai anachapa kazi. Mwinziye akadai akaguliwa !!

Hayo mambo yaliendelea hata msibani. Mambo mengi yalifichwa
 
Baada ya tozo la miamala kugonga mpaka usukumani, kwa sasa 80% ya wasukuma waanamini huenda hichi kimama kilihusika kumuangamiza jiwe. Kifo cha jiwe bado ni fumbo la majonzi kwa ngosha wengi.
 
Ila tunapigwa ndefu kila upande, potelea mbali mwache alivyoondoka
 
Hana jibu,hata yeye hakujua kama Magufuli anaumwa, ilikuwa SIRI KUU,watu wachache SANA ndiyo waliokuwa wanajua kama mzee anaumwa.
Kumuuliza Hilo swali huyo Vasco da Gama wa kike ni kumuonea.
Vice President hakujua kama President anaumwa?! Mkuu are you serious and well informed?!
 
Haka ka paragraph kamesheheni
 
Noted. This is very valid question ila hata ningepata chance kumuuliza Rais Samia, nisinge uliza swali hili, ni open ended question, nitajibiwa "Acha maswali ya chokochoko, tumwache JPM apumzike kwa amani"
P
Usingeuliza kwa sababu unaogopa au kwa sababu unasadiki unajua utachojibiwa?
 
Yeye mwenyewe alikuwa hajui.... Sukuma gang was in control (like it is now).
 
HIV Noma sana
 
Wananchi wangeambiwa ukweli wa kuugua kwake wangeweza kumuombea kwa Mungu kwa uzito yamkini kwa rehema za Mwenyezi Mungu angepona labda!

Sijui Kwanini walificha!

Pamoja na tetesi kuzagaa lakini bado wakakanusha kuwa jamaa ni mzima anapiga kazi kama kawaida.
 
Ni wiki kadhaaa sasa tangu makamu wa Raisi ndugu philipo haonekani hadharani. Kuna taari fazinadai yuko mahututi,

Kama hizi taarifa ni za kweli Naona tabia ya kuficha maradhi na vifo vya viongozi wetu inaendalea
 
Nchi elimu gongana hii. Watu ufahamu uko chini sana. Huyu unaweza kukuta ni graduate wa chuo kikuu. BTW kuna siku kila kitu kitakuja kuwekwa wazi, mpaka alivyopelekwa Nairobi na kurudishwa. Tena na evidence za video na picha.
Na wakatangaza zikiwa zimepita siku kumi toka alipofariki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…