Kwanini Serikali ilituficha kuugua kwa Dkt. Magufuli?

Wabongo wengi roho mbaya sana wanapenda kuona baadhi ya watu hasa wale walio fanikiwa mfano maafisa serikalini, wafanyabishara wakihenyeshwa.
Tuliambiwa tutaishi kama mashetani. Now we are back.
 
Jiwe mwenyewe ndio alikua anaficha issue za kuumwa kwake..
 
Ndiyo, serikali ya ccm ilikuwa madarakani, yeye akiwa makamu wa Rais, na pia yeye mwenyewe alitoa baadhi ya taarifa hizo. Hivyo anawajibika asilimia mia moja.
tatizo hawezi kusema hiyo ni siri ya taifa mkuu..
 
Hata hivyo nahodha aliepo sasa ana weledi na ujuzi unaofanana na alietangulia. Kwahiyo tuna imani atatufikisha salama safari yetu.
Si kwa mfumko wa bei tunaoshuhudia. She has failed the nation.
 
The 180° shift of every single policy change(good or bad) after his death only leads me to one conclusion ,he was "Epsteined" and not in a suicide sense

But on another note some part in me tells me he died suddenly + a close circle of people knew and the shock of it confused them on what to tell the public
 
Hana jibu,hata yeye hakujua kama Magufuli anaumwa, ilikuwa SIRI KUU,watu wachache SANA ndiyo waliokuwa wanajua kama mzee anaumwa.
Kumuuliza Hilo swali huyo Vasco da Gama wa kike ni kumuonea.

Usimtetee huyo. Yeye na PM walitukosea sana sisi wapigakura wa nchi hii. Nini kiliwafanya wakaanza kutuletea salaam kutoka kwa Rais ambaye walikuwa hawana mawasiliano naye? Kimsingi, walikuwa wanatuletea salaam hewa kutoka kwa Rais.

Hawakuwa honest kwa Watanzania na sidhani kama hiyo tabia ni consistent na viapo vyao!

Bottom line: Huo upuuzi haukubaliki.
 
Mkuu waandishi hao wanawatoto na familia bado wanategemewa kabisa.
 
Nahisi kama na wewe ndiye wale wanaoamini zile conspiracy theories..! Ameaga dunia kwa ugonjwa wa moyo, mwacheni apumzike kwa amani sasa.
 
Tumsamehe bure yeye mwenyewe alifichwa hadi akapangiwa na ziara za mikoani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kujua juu ya mwendazake kutapunguza makali ya tozo? Tuache mizaha wakati mwingine.
 
Haha! Nakumbuka alisema waliokuwa wanaongelea mambo hayo walikuwa na husda! 😂
Baada ya kauli hii MATAGA wakaanza kutembea kifua mbele kuwa chuma kiko imara kumbe ni uongo kama zile rekodi za kupika za makusanyo ya kodi TRA enzi za Jiwe
 
Reactions: Qwy
Mambo ya kuficha/ kufichwa halafu mnakuja tu kuambiwa mtu kaaga dunia, hayafai.
Hivyo, ningependa sana kujua kwa nini wananchi hatukupewa taarifa.
Haya maswali yako ungeyaelekeza kwenye ofisi ya chama chako pale Lumumba ungepata majibu. Hapa utaambulia matusi tu
 
Reactions: Qwy
Apo mwendazake kwenda kwa muumba utakuwa umekosea ..huyu marehemu sidhani kama ameeleka huko ..atakuwa tu maeneo mengine anasubiri kwenda kuzimu. Huyu kwa muumba hana chake..
 
Reactions: Qwy
Katika nyakati zote hizo mbili, sikusikia kabisa akiulizwa ni kwa nini serikali yake ilituficha kuhusu kuugua kwa Rais Magufuli.

Wakati Magufuli akiugua bado serikali ilikuwa ni 'serikali ya Rais Magufuli' kwa mantiki ya Magufuli regime na wala sio Samia regime...

Kwa mantiki hiyo, sidhani kama ni sahihi kuliframe swali hilo kuweka neno "kwa nini serikali yake ilituficha kuhusu kuugua kwa Rais Magufuli"...

Kama kuficha hali ya Rais basi ni kosa liende kwa aliyepaswa kutueleza hali ya afya ya Rais kiprotokali, sasa sijui ni Makamu (Samia) au PM (Majaliwa) au Spika (Ndugai) au Ikulu (Katibu wa Ikulu/Rais, Msemaji wa Ikulu)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…