Kwanini serikali imenyamaza kimya?Huku Simba wana changisha??

Kariakoo kuna omba omba wengi hebu ishauri serikali iwasaidie hao kwanza kabla ya kuja kuchunguza uwanja wa simba
 
Ila Mohammed hapendwi kiukweli na hasa wale wasiotakia mema simba,, na sipati picha kama yeye ndo angeibuka na wazo hili sijui ingekuwawaje,,, wazo wametoa wengine lkn yeye kama muwekezaji kaanza na mfano kwa wengine kwa kuahidi 2billion lkn anavyopingwa utadhani labda yeye ndo kaja na wazo hilo la kuchangishana,,,
Sio kama hapendwi ni kawaida ya malofa, wanyonge, maskini kumchukia tajiri ndio roho za maskini wa Tanzania zilivyo, utawala wa Magufuri alivyokuwa anatumbua watu hadharani!maskini walivyokuwa wanashangilia!! na kuruka ruka kwa furaha! Watanzania walio maskini asilimia kubwa ndio wanaongoza kwa kuwa na chuki kwa mtu aliefanikiwa!
 
Serikali kupitia taasisi zake walisimamia zoezi la Simba kupata mwekezaji ambae inasemekana alitoa bilioni 20 kununua asilimia 49 ya hisa za Simba...

Sasa Simba inaporudi kuchangisha wanachama wakati kila kitu cha Simba kinamilikiwa kwa asilimia 49 na huyo mwekezaji...je wanachama wanamchangia mwekezaji??

Hisa zake zikiongezeka thamani anaefaidika ni nani??He kesho akiuza hizo hisa kww mtu mwingine kwa bei mara 2 au 3 ?Simba inafaidika vipi?

Hii michango inaongeza vipi thamani ya hisa za Simba?Msimamiz ambae ni serikali Yuko wapi?..kama Mwekezaji anatoa bilioni 2 Tu na Wana Simba wanachanga kufikisha hizo bilioni 28 za Uwanja..
He bado mwekezaji atakuwa na asilimia 49?.

Kuna umuhimu kwa wasimamizi kutoa ufafanuzi..
Hao wenye hisa 51% wameshazilipia?! Na hizo b20 alizotoa unajua zimewekwa kwa utaratibu gani? Wenye timu yao wamekubaliana na huo utaratibu wa kuchangia, wewe na wivu wako wa kike unakuja kulialia hapa. Kuchanga kwao wewe unakosa pesa ya kula?! Jambo halikuhusu, unalitolea povu. Nyinyi uto kilichobaki ni kutembea uchi tu hadharani.
 
Ulisemalo ni sahihi kwa asilimia [emoji817]. Sababu huwa ni nini hasa?
 
Mkuu uliishia darasa la ngapi? Mbona unauliza swali na kujijiibu mwenyewe?
 
Ya kaisari yabaki ya kaisari any observation iende page ya Simba majibu yatatolewa huko. Nikiwa nafanya anasa sijiulizi risks ila nikiwaza mazuri najiuliza risks. Sasa sijui ni nani fundi mimi au hayo matukio. Nastaajabu Simba nguvu moja kwa vitendo na kwa mifano halisi.
 
Hao wenye hisa 51% wameshazilipia?! Na hizo b20 alizotoa unajua zimewekwa kwa utaratibu gani? Wenye timu yao wamekubaliana na huo utaratibu wa kuchangia, wewe na wivu wako wa kike unakuja kulialia hapa. Kuchanga kwao wewe unakosa pesa ya kula?! Jambo halikuhusu, unalitolea povu. Nyinyi uto kilichobaki ni kutembea uchi tu hadharani.
Inashangaza sana..Wao wanadhani B20 ni za kufanyanyia matumizi tu kama ya uwanja au usajili, bila kujua kwamba huo ndo mtaji wa Klabu ambao hata akija Mwekezaji mwingine.

Wache waendelee na hizo hekaya
 
Hata tukisema twende kwa asilimia haya, yeye wa 49 kashasema 2B sisi wa 51 tumefika ngapi? Tufike kwanza hiyo 2B ndio tumwambie aongeze mzigo na alete mkono tushindane!
Harafu uwanja sio wa mo ni wa simba kuna siku mo ataondoka atakuja mtu mwingne kwahy na yeye itabidi ajenge uwanja kisa ni mmiliki wa simba?

Sisi mashabiki na hao viongozi wote tutachanga kuhusu mo kuwa na 49% alishatoa 20B yeye ndo anatudai sisi faida kwa hizo miaka zilizo baki kwenye mkataba.
 
Serikali kupitia taasisi zake walisimamia zoezi la Simba kupata mwekezaji ambae inasemekana alitoa bilioni 20 kununua asilimia 49 ya hisa za Simba...

Sasa Simba inaporudi kuchangisha wanachama wakati kila kitu cha Simba kinamilikiwa kwa asilimia 49 na huyo mwekezaji...je wanachama wanamchangia mwekezaji??

Hisa zake zikiongezeka thamani anaefaidika ni nani??He kesho akiuza hizo hisa kww mtu mwingine kwa bei mara 2 au 3 ?Simba inafaidika vipi?

Hii michango inaongeza vipi thamani ya hisa za Simba?Msimamiz ambae ni serikali Yuko wapi?..kama Mwekezaji anatoa bilioni 2 Tu na Wana Simba wanachanga kufikisha hizo bilioni 28 za Uwanja..
He bado mwekezaji atakuwa na asilimia 49?.

Kuna umuhimu kwa wasimamizi kutoa ufafanuzi..
Club ya mataahira
 
Serikali iingilie kati ili iweje?!

Mo anamiliki 49%

Wanachama 51%

Na hili lilikuwa ni agizo la serikali.

Sasa hapo kati ya anaemiliki 49% na 51% nani anaemchangia mwenzake?

Akili zenu fupi zinaleweshwa na jina Mo, kwasababu ndilo linalotajwa kila siku mnadhani ana nguvu zaidi ya wote; hao wanachama ambao ndio wengi zaidi ila kwasababu hawatajwi hakuna kati yenu mwenye habari nao.
 
Nasubiri kuona jinsi gani simba wata raise fund hadi kufika 30bilion.

Maana wanachama tuu kulipia kadi ni mtiti, kununu jezi ni mtiti, kutupia app ya simba ni mtiti
Usiwaze ondoa shaka,hata viongozi wa Simba wanajua fika kufikisha izo pesa kwa michango ni mtiti.wanachama kuchangia ni sehemu tu wa kuwahusisa ila lipo jambo makhsusi la kufanikisha ujenzi nje ya michango.
 
Hivi kwanini suala la kuchangia ujenzi wa uwanja Simba wanaopinga ni Utopolo?
 
Serikali kupitia taasisi zake walisimamia zoezi la Simba kupata mwekezaji ambae inasemekana alitoa bilioni 20 kununua asilimia 49 ya hisa za Simba...

Sasa Simba inaporudi kuchangisha wanachama wakati kila kitu cha Simba kinamilikiwa kwa asilimia 49 na huyo mwekezaji...je wanachama wanamchangia mwekezaji??

Hisa zake zikiongezeka thamani anaefaidika ni nani??He kesho akiuza hizo hisa kww mtu mwingine kwa bei mara 2 au 3 ?Simba inafaidika vipi?

Hii michango inaongeza vipi thamani ya hisa za Simba?Msimamiz ambae ni serikali Yuko wapi?..kama Mwekezaji anatoa bilioni 2 Tu na Wana Simba wanachanga kufikisha hizo bilioni 28 za Uwanja..
He bado mwekezaji atakuwa na asilimia 49?.

Kuna umuhimu kwa wasimamizi kutoa ufafanuzi..
Una point muhimu sana tu bila ushabiki ilitakiwa ijulikane budget kwanza ya kujenga uwanja kiasi gani ukishajuwa kila mtu anawekeza kwa % yake huwezi kuchangisha hujui nani anatoa nini na baya zaidi na jina wameshatoa MO Arena hilo jina tu alitakiwa atoe zote yeye.
 
Usiwaze ondoa shaka,hata viongozi wa Simba wanajua fika kufikisha izo pesa kwa michango ni mtiti.wanachama kuchangia ni sehemu tu wa kuwahusisa ila lipo jambo makhsusi la kufanikisha ujenzi nje ya michango.

Kumbe kuna plan nyingine kuhusu kupata fedha
 
Back
Top Bottom