Tajiri Kichwa
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 9,021
- 22,016
Kulipia kadi ni zoezi la msimu, swala la mchango ni frequently unaweza kuchangia hata mara kumi
Sawa ngoja tusubiri kuona. Project ingekua phased kidogo ingekua na mashiko nafikiri ndii ingekua njia rahisi.
Au simba wange register kampuni nyingine inayokua inamiliki uwanja wa list share, mchango unatoa ukunufaishe nawe pia mchangiaji.