Wapo busy kukamata wasanii na chadema.
Hivi Buza ipo Dar es salaam au Temeke? Serikali inawanynyapaa kwa sababu watu mnaokaa Buza ni matopolo ya kutupwa.
Nadhani kwa mpalange iko wilaya ya Ilala. Mwanagati, kwa mfipa, magole, kitunda, kivule, njoo mpaka Banana -ukonga. yote ILALA hiyo.Mkuu wazungumzia BUZA sehemu gani KWARULENGE ama KWAMPALANGE [emoji4]
Hizi dharau hizi. [emoji3][emoji3][emoji3]
Dar yote ni Uswazi tu. Tandale,Kigogo Manzese ni pabaya afadhali hata Buza.Temeke si ndo kuna uswazi nyingi kuliko wilaya zote? Sababu Mbagala,Tandika,Buza na makolokolo mengine ni huko....Dar es salaam ni Ilala na Kinondoni kwa mbali
Abdallah Mtolea ndio mbunge ni wa Ccm. Alafu anaishi huku Buza. Hashughulikii hata mradi wa maji yaani noma tupu.Mbunge wa maeneo hayo ni wa chama gani? Wengi wa wanaoishi maeneo hayo ni kabila gani? Kama ni wacheza ngoma kutwa kucha na mipasho ya kangamoko ndio jadi yao usilalamike.
Wengine tukifika huko mnatuita wa mkoani na hao mnawaitaje hukoThat's the plain truth mkuu. Buza, mbagala, gongo la mboto na maeneo mengine yenye sifa kama za Buza, mbagala, gongo la mboto hazipo Dar es salaam. Hata watu wa huko wapo tofauti na watu wanaoishi Dar es salaam.
na miss buza je?!Na mabaharia wengi wanatoka Buza