Kwanini Serikali inadharau sana Buza?

Mbona mabomba yameshaweka ila bado kuunganisha kwa wananchi tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi najua wimbo tu kutoka pande hizo unaitwa Miss Buza baas
 
Wazee wa nyuma ya airport [emoji23][emoji23][emoji23]
Kule mahali uswahili mwingi sana
Kwa bahati mbaya hapatakua sababu huwezi kuweka maghorofa sababu ni near airport

Luckman1
 
Ni wakati wa kuipumzisha sasa

Jr[emoji769]
 
Huwezi kufananisha kinondoni na kwengineko
Kinondoni kidogo wanaendana na Watoto wa ilala
Exposure, ustarab upo

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Dar yote kama unakokaa kuna wauza miguu, vichwa na utumbo wa kuku ujue unakaa na watu wa ajabu.

Wakaanga samaki na dagaa mitaani, wala kongoro na supu za utumbo ndugu yangu weka malengo ya kuhama in case wewe si wa ajabu.

Ila kama unaona poa tu, basi we ni wa ajabu pia ukihamia sehemu nyingine utaona mizinguo, komaa kibuzabuza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…