Kwanini Serikali inadharau sana Buza?

Hebu shule zifunguli mashemeji mrudi shuleni na vyuoni mada za kitoto zimezidi
 
Siku ukitembelea matembele ya 1, kitunda, kibeberu, mwanagati, matembele ya 2, sirali, kivule, fremu kumi, msongola, mbondole, njia nne utagundua kuwa buza ni kama TORONTO!!
Acha uzushi yaani kitunda iwe ya ovyo
 
Rayvanny kuimba Miss Buza kawadhalilisha sana, najia hata thamani za nyumba kazishusha huko sababu ya nyimbo yake
 

Buza siyo eneo pekee tu ndani ya Nchi ya Tanzania linalohitaji Kuendelezwa. Muda wake ukifika Buza itaendelezwa na Vitukuu vyako vitashuhudia.
 
serikali haiidharau buza bro, shida ni kwamba dharau kwa buza ilianzishwa na sisi wananchi wenyewe
 
Nilihamak sku1 nimepita huko buza ..hakuna vibanda vya chips..vibanda vyao vya chips ni meza tuu ya chin..yaan kama wauza mihogo...ila nilikupenda buza
 
Nimeshangaa ghafla Tandale, Vingunguti pamekuwa pazuri kuliko Buza
 
Mjini kwenyewe kubovu usilalamike sana maendeleo yaatakuja tu.
 
Kila mtu anaishi sehemu kulingana na kipato chake

Huwezi kumpeleka mtu mahala chumba 60,000 pesa ya umeme 20,000 kwa mwezi 80,000 na wakati kipato chake 200,000 au 300,000 mwisho wa mwezi ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…