Kwanini Serikali inaingia mikataba ya mda mrefu?

August 83

Member
Joined
Apr 8, 2024
Posts
29
Reaction score
61
Ukiangalia mikataba mingi anayoingia Rais Samia na anaowaita Wawekezaji mingi ni ya muda mrefu.

Mikataba ya aina hiyo ilipata kuingiwa pia kipindi cha utawala wa Mzee Kikwete.

Ikumbukwe mikataba ya Kikwete na wawekezaji iliupa wakati mgumu mno Serikali ya Magufuli hasa ikizingatiwa mingi ya mikataba ile ilikuwa ya kipigaji!

Utawala ujao baada ya Samia dalili zi wazi utateswa sana na mikataba iingiwayo leo.
 
ondoa shaka mkuu, ni za uhakika sio za upigaji !
 
Ukiangalia mikataba mingi anayoingia Rais Samia na anaowaita Wawekezaji mingi ni ya muda mrefu.

Mikataba ya aina hiyo ilipata kuingiwa pia kipindi cha utawala wa Mzee Kikwete.

Ikumbukwe mikataba ya Kikwete na wawekezaji iliupa wakati mgumu mno Serikali ya Magufuli hasa ikizingatiwa mingi ya mikataba ile ilikuwa ya kipigaji!

Utawala ujao baada ya Samia dalili zi wazi utateswa sana na mikataba iingiwayo leo.
Hiyo mikataba ni ya CCM na siyo ya Rais, kwa hiyo chama kingine kikishika dola ndiyo wataweza ikataa!!
 
Back
Top Bottom