kelele tupu wee, byeyombo, cha keleleondoa shaka mkuu, ni za uhakika sio za upigaji !
Una uhakika gani kwamba hatupigwiondoa shaka mkuu, ni za uhakika sio za upigaji !
Unaelewa wowote kuhusu hiyo mikataba?Ukiangalia mikataba mingi anayoingia Samia na anaowaita wawekezaji mingi ni ya mda mrefu...
Mama yupo makini sanaUna uhakika gani kwamba hatupigwi
sawa retarded! 😀kelele tupu wee, byeyombo, cha kelele
Hiyo mikataba ni ya CCM na siyo ya Rais, kwa hiyo chama kingine kikishika dola ndiyo wataweza ikataa!!Ukiangalia mikataba mingi anayoingia Rais Samia na anaowaita Wawekezaji mingi ni ya muda mrefu.
Mikataba ya aina hiyo ilipata kuingiwa pia kipindi cha utawala wa Mzee Kikwete.
Ikumbukwe mikataba ya Kikwete na wawekezaji iliupa wakati mgumu mno Serikali ya Magufuli hasa ikizingatiwa mingi ya mikataba ile ilikuwa ya kipigaji!
Utawala ujao baada ya Samia dalili zi wazi utateswa sana na mikataba iingiwayo leo.