Wild fauna
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 461
- 189
...mahakama ni kichaka cha watawala.
Salam jf
inakuwa ni vp kila serikali inapokimbilia mahakamani yenyewe ndio inakuwa mshindi? Does it mean kuwa yenyewe iko perfect wakati wote?
Mathalani tazama migomo ya madaktari pamoja na walimu,hivi ni kweli haya makundi yalikurupuka na hayakuwa na hoja za msingi?
Ni kwa vp mahakama imetuaminisha kuwa ni chombo cha haki?
Hilo liko wazi, serikali inaziamuru mahakama kutoa hukumu in its favour! Lakini tunakoelekea siko,wananchi tayari wameshapoteza imani na mahakama,kuna wakati mahakama zitatoa amri hazitosikilizwa na zitabezwa na huo ndo utakuwa MWANZO WA MWISHO
Halafu ikija kwenye kesi kama za Dowans lazima ishindwe. Je unaelewaje? Tafakari na chukua hatua.
Hilo liko wazi, serikali inaziamuru mahakama kutoa hukumu in its favour! Lakini tunakoelekea siko,wananchi tayari wameshapoteza imani na mahakama,una wakati mahakama zitatoa amri hazitosikilizwa na zitabezwa na huo ndo utakuwa MWANZO WA MWISHO