The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,968
- 2,957
Nawaza tu kama raia wa kawaida na mawazo haya nimeyapata baada ya kununua dollar Moja kwa tshs 2800
Ni declare interest kwamba kwenye mambo ya uchumi mimi ni maamuma, ila wazo linajia kwamba, kutokana na ukweli kwamba bidhaa inayoongoza kwa kutumia fedha nyingi za kigeni ni mafuta
sasa kwa kuwa sisi tumejaaliwa na mwenyezi Mungu gas ya kutosha na tuna kadhia hii ya dollar kupanda mbele ya tshs kila uchao napendekeza serikali ichukue mkopo mkubwa ili kubadili mifumo yote inayotumia mafuta irekebishwe ili itumie gas.
Jambo hili litakuwa na faida kubwa sana.
Kwanza litapunguza kwa zaidi ya nusu matumizi ya fedha za kigeni
Pili itaokoa mazingira yetu kutokana na kupunguza Moshi.
Tatu tutapata fedha za kigeni maana naamini kama tukifanya vizuri bila shaka nchi jirani zitakuja kununua teknolojia na gas yenyewe na hapo Moja kwa Moja tutakuwa tumeokoa shs yetu.