Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Huko Kenya kuna mabishano makali ya kisiasa baada ya serikali ya Ruto kuamua kuikodishia kampuni ya Wahindi ya Adani Group uwanja wa ndege wa Jomo Kenyatta (JKIA) uliopo Nairobi.
Mpaka sasa haijaeleweka hasa sababu za msingi za Serikali ya Kenya kuwakodishia Adani uwanja huo ukizingatia ni mojawapo ya viwanjo vyenye huduma bora na ufanisi mkubwa kulinganisha na nchi nyingi za Africa.
Wanaharakati wamefungua kesi mahakamani ambapo Mahakama kuu ya nchi hiyo imeweka zuio la muda kwa serikali kuendelea na mchakato wa kuukabidhi uwanja huo kwa Wahindi wa Adani