🤣🤣🤣 3000/=!Uwanja wa Jomo kenyatta ndio Hub ya East Africa hivyo unahitaji uwekezaji mkubwa wa kuupanua uweze kupokea ndege nyingi takribani 3000 kwa siku. Serikali ya Kenya haina fedha za kufanya huo uwekezaji kwa sasa na ndio sababu waka amua kutafuta mbia.
Duniani kuna viwanja vinapokea ndege zaidi ya 15,000 kwa siku mfano LHR
I second you !Hata JNIA inahitaji mwekezaji.
Treni lazima tu atapewa mwekezaji