Hisha Sorel
Senior Member
- Dec 27, 2017
- 192
- 140
Abstract
Uchaguzi wa 2013, ulioishia na ZANU-PF kuchaguliwa kwa majority, ulisumbwa na kupingwa kisa reports za vitisho kwa wapinzani. Lakini upinzani ulipoteza nguvu, kutengana, na kufifia kisa kuongezeka kwa kero. Lakini richa ya kutawala bila pingamizi ndani ya serikali na bunge, ugomvi uliongezeka ndani ya chama na mwisho wake kuwa kuondolewa kwa aliye kuwa kichwa cha chama Robert Mugabe, na kirithiwa na mwenza wake Emmerson Mnangagwa.
Maswali: Kisa cha hiki ni nini? Je future ya zimbabwe ni Hipi? Na nini kifanyike?
Jibu:
Note: hii video, ni video yangu ya kwanza kujaribu kuelezea siasa kwa njia nyepesi.
Elewa hii ni mtazamo wangu, na ningetamani kuelewa upande tofauti.
Mi kama editor, nimeona mwanya wa video za siasa ndani ya Youtube Tanzania; na nia yangu kuanzisha hiyo tamaduni.
Asanteni.