B border Senior Member Joined Jun 22, 2017 Posts 146 Reaction score 142 Apr 17, 2018 #21 Job K said: Niko kwenye Biashara ya duka la dawa za KILIMO name MIFUGO huko haki ya nani usiombe! Mara unaombwa leseni ya TFDA, TPRI, TOSCI, VETERINARY COUNCIL, Manispaa, TRA, Click to expand... Hapo ni hatari ndugu taasisi zote hizo zinachukua mzigo duh!
Job K said: Niko kwenye Biashara ya duka la dawa za KILIMO name MIFUGO huko haki ya nani usiombe! Mara unaombwa leseni ya TFDA, TPRI, TOSCI, VETERINARY COUNCIL, Manispaa, TRA, Click to expand... Hapo ni hatari ndugu taasisi zote hizo zinachukua mzigo duh!
B Baraka zablon Member Joined Apr 1, 2018 Posts 31 Reaction score 18 Apr 28, 2018 #23 Nadhani vijana wengi watakuwa wanaogopa kufungua biashara coz ya hzo tozo kibao yaan kama unawafanyia biashara wao...this is not fair kwa kwel
Nadhani vijana wengi watakuwa wanaogopa kufungua biashara coz ya hzo tozo kibao yaan kama unawafanyia biashara wao...this is not fair kwa kwel