Sharia Law ni muunganiko wa sheria zinazomuongoza Mwislamu maisha yake yote.
Sharia ya Kiislamu Ina hasara kubwa kwa atu wasio waumini wa Kiislamu hasahasa Wakristo na nitazioanisha hapa kama zifuatavyo.
Inaminya uhuru wa kuabudu: Hakuna uhuru wa kuabudu Kwa watu wasiokuwa Waislamu katika nchi yenye Sharia ya Kiislamu, yeyote atakayeabudu hadharani atateswa au kupewa kifungo gerezani. Sharia ya Kiislamu inaruhusu Wakristo na watu wa dini zingine waabudu manyumbani kwao na kukataza Wakristo wasikusanyike Wala kuuza vitabu vinavyohusiana na Ukristo. Mfano nchi ya Saudi Arabia Wana sheria hizi na Wakristo wa Kiarabu wanateseka sana utadhani wako kwenye nchi ya Ugenini.
Kushindwa kuwatetea wanawake: Ndani ya Sharia ya Kiislamu, mwanamke akibakwa, anapaswa kuwasilisha kesi yake akiwa na mashahidi wanne wa kiume, akishindwa kufanya hivyo, atahukumiwa kwa kufanya zina na adhabu yake ni kuchapwa viboko pamoja au kupigwa mawe hadharani.
Je, vipi mwanamke akibakwa chumbani na hakuna mtu aliyeona au kushuhudia? Je sio kushindwa kutetea wanawake?
Mwaka 2008, Oktoba 27, Aisha, msichana wa Kiislamu wa miaka 13 alipigwa mawe mpaka kufa baada ya shauri lake la kubakwa kukataliwa ila baadaye kabisa, baada ya kifo chake ikagundulika kuwa alibakwa na wanaume watatu.
Sheria tu za Kitanzania zingetenda Haki kwa Aisha na angekuwa hai mpaka Leo hii.
Sharia ya Kiislamu Ina mambo mengine ambayo yanarekebisha maadili ya kijamii na kutengeneza NIDHAMU Kwa wananchi ila Ina baddhi ya sheria ambazo inaminya haki muhimu ya binadamu ya kuabudu na inashindwa kuwatetea wanawake wanaopatwa shida kama hapo juu.
Watanzania wanachohitaji ni katiba mpya itakayoheshimu Haki zote za wananchi ikiwemo ibada kuwa hadharani na sio faragha.