PLATO_
Senior Member
- Jan 25, 2020
- 116
- 230
Kipindi nipo chuo miaka miwili iliyopita nilikuwa naona USD inacheza kwenye Tsh2300 hivi lakini hivi sasa Dollar imepanda sana. Hii inamaana gani kwenye uchumi wetu?
Kwanini Shilingi inadhidi kupoteza Thamani yake dhidi ya Dollar?
Labda tuseme uchumi unakuwa kwa maana hiyo hata Garama za maisha sasa hivi zipo juu, Je wafanyakazi mlio ajiriwa Mmeongezewa mshahara huko kulingana na hali ya maisha ya sasa?