Kwanini shule za kawaida perfomance ya masomo ya sayansi ni mbaya!

Mpigamsuli

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2012
Posts
3,885
Reaction score
582
wana jf nimefuatilia sanaa juu yahilikwamba kwenyeshulezakawaida wanaochukua sc wanafanya vibaya lete sabab ya hili plz!
 
sabab ni kamaifuatavyo shulehizihuchukuampakawenyeCDD, wakat shule kamamzumbe ilboru tbrboys wao huishiaABB!
 
Utafiti unaonyesha wanafunzi wanaotoka o-level na pointmbaya wakienda a-level kuchukua science wengiwao hufanya vibaya!
 
sababu kubwa mbili
1. ukosefu wa vifaa vya kujifunzia mashuleni (sayansi inafundishwa kwa practicals).
2. uwezo mdogo wa wanafunzi (mitihani inarahisishwa sana ili kufidia ukosefu wa practicals, matokeo yake ni wabobezi wa nadharia tu).
 
Utafiti unaonyesha wanafunzi wanaotoka o-level na pointmbaya wakienda a-level kuchukua science wengiwao hufanya vibaya!

Huo utafiti umefanyikia wapi??? kuna watu ka 10 nao wafahamu waliingia A-Level kwa point mbaya sana na wengine ililazimu mpaka wa reseat, lakini mwisho wa mchezo wote wametoka na madaraja ya kuridhisha tu.
 
wana jf nimefuatilia sanaa juu yahilikwamba kwenyeshulezakawaida wanaochukua sc wanafanya vibaya lete sabab ya hili plz!

Shule za kawaida ndo zipi? sijawahi kusikia categorization hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…