Kwanini shule za kiislamu hazifanyi vizuri katika mitihani ya taifa?

Ni kama chadema tu
 
Kuna ile Ubungo Islamic school matokeo yanasikitisha, na cha shangaza uwezi ukaona inakosa wanafunzi, licha ya matokeo kuwa mabovu lakin badoo ina wanafunzi wengi sana
Ongea kwa DATA na sio kwa mihemko....
Ile shule ya Ubungo huwezi kuiweka katika shule mbaya, kama unafuatilia matokeo
Mfano; Mwaka 2023; Div1 =11, Div2 =22, Div3 =9 (hakuna Div 4 wala zero)
 
Jibu ni Moja tu KWAKUWA WANAMUABUDU MUNGU WA KWELI na kufundishwa kuzifuata njia zake naye ni YESU KRISTO
 
1.Shule za kiislam na maeneo yenye waislam wengi hua wanafeli sana form 4 au 6,......Kama pale Zanzibar,ila uchumi wa Zanzibar ni mara 10 ya uchumk WA Kilimanjaro ama Zanzibar penye wakristo wengiπŸ˜ƒπŸ˜πŸ˜†πŸ˜†
2.Samia Suluhu Rais wa Tanzania,alipata division zero form six😁😁,ila anawatawala vipanga wakina Mwigulu na professor Kabudi
3.ukienda mijini,kariakoo pale,utakutana na wauza maduka wengi waislam wameajiari wanapiga mishe zao,huku wakuja wakiahangaika na bahasha kuomba ajira
Life is the Game
 
No tatizo? Kivipi mkuu
Mfumu kristo ni very powerful, hata system za kiislam haziwezi ku-reverse? si kweli pls dadavua huo mfumo
How? pls explain
Wenyewe huwa wanasema hivyo kuwa ni mfumo Kristo unapelekea wanafelishwa. Kwenye usahihishaji
Pili, Wanadai Mashuleni wamepeleka elimu za kizungu ambazo ni za Kikristo lakini elimu ya kiarabu imeachwa.
Wanadai waarabu na waislamu walikuwa na elimu na vyuo vyao tangu zamani, elimu ile ndiyo ilipaswa isambazwe lakini si hii ya mfumo Kristo.
 
Binafsi nilisoma shule za dini zote mbili,na nilifaulu sana pande zote, naweza sema kitu kimoja. Kufaulu ni utayari wa mwanafunzi na sio dini.
 
Ko Elimu za kizungu ni Elimu ya Kikristo? πŸ˜‚
 
Huo sasa ndio upuuzi yaaan uislamu nidio priority
Yes k uislam ni priority na sio elimu ya kukalili ,na hii haithiri kabisa maendeleo ya waislam........uislam unafundisha matumizi ya elimu,na si kukalili elimu,.........
1.kwenye uislam Kuna logic,huku hakuna kua unywe pombe usilewe sio dhambi,.....yaani utumie hypnotic usiwe sober,huku unetandika division oneπŸ˜€πŸ˜„πŸ˜
2.Uislam unataka Kila jumuia isimamie mali zake ipasavyo,ndio maana Algeria na Nigeria wote wanamafuta ila maendeleo tofauti kubwa mno,......uislam hautaki kukusanya mali vijjini na sadaka kisha kuzituma Vatican wajanja wachache wale Bata
3.Zanzibar ni eneo pekee ndani ya Tz,Kuna waislam 99%,na matokeo ya form four na six huongoza kufeli,......ila Zanzibar ina maendeleo mara 10 ukilinganisha na mkoa wowote ule unaoongoza kupiga division oneπŸ˜†πŸ˜…πŸ˜ƒ
Unajua kwa nini?
Kwenye uislam muhimu ni matumizi ya akili na sio hizo akili zenyewe,thus why Kwenye hati ya muungano Nyerere msomi wa Makerere alisainj Mali za bara zitakua za Zanzibar pia ,huku Karume msomi wa madrasa akiweka Saini ya dole gumba,kua Mali za Zanzibar ni Zanzibar TUπŸ˜ƒπŸ˜πŸ˜
 
Madrasa usome kutoka nyuma ya kitabu kwenda mbele.Shule usome mbele kwenda nyuma."What confusion!"
Yes kwenhe uislam ni priority na sio elimu,na hii haithir kabisa maendeleo ya waislam........uislam unafundisha matumizi ya elimu,na si kukalili elimu,.........
1.kwenye uislam Kuna logic,huku hakuna kua unywe pombe usilewe sio dhambi,.....yaani utumie hypnotic usiwe sober,huku unetandika division one
2.Uislam unataka Kila jumuia isimamie mali zake iosavyo,ndio maana Algeria na Nigeria wote wanamafuta ila maendeleo tofauti kubwa mno,......uislma hautaki kukusanya mali vijjini na sadaka kisha kuzituma Vatican wajanja wachaxhe wale Bata
3.Zanzibar ni eneo pekee ndani ya Tz,Kuna waislam 99%,na matokeo ya form four na six huongoza kufeli,......ila Zanzibar ina maendeleo mara 10 ukilinganisha na mkoa wowote ule unaoongoza kupiga division oneπŸ˜†πŸ˜…πŸ˜ƒ
Unajua kwa nini?
Kwenue uislam muhimu ni matumizi ya akilk na sio hizo akili zenyewe,thus why Kwenye hati ya muungano Nyerere msomi wa Makerere alisainj Mali za bara zitakia za Zanzibar pia ,huku Karume msomi wa madrasa akiweka Saini ya dole gumba,kua Mali za Zanzibar ni Zanzibar TUπŸ˜ƒπŸ˜πŸ˜
 
Reactions: EEX
Kama muanzilishi wa dini yaani Mtume mudi mwenyewe hakuwa akijua kusoma wala kuandika.....kuna nini tena hapo......hakuna cha ajabu kwa taasisi za elimu za kiislamu kutofanya vizuri

Kwenye uislam muhimu ni matumizi ya akili na sio hizo akili zenyewe,
Example:-
1.Kwenye hati ya muungano Nyerere msomi wa Makerere alisainj Mali za bara zitakia za Zanzibar pia ,huku Karume msomi wa madrasa akiweka Saini ya dole gumba,kua Mali za Zanzibar ni Zanzibar TUπŸ˜ƒπŸ˜πŸ˜
2.Venezuela ina wakatoliki 90%,Saudi Arabia ina waislam 90%,Venezeule inaongoza Kwa reserve kubwa ya mafuta duniani,ila maendeleo ya Saudi Arabia ni mara 1000 ya maendeleo ya VenezuelaπŸ˜ƒπŸ˜πŸ˜„
 
Tofautisha Uisilamu na Bakwata, Shule ambazo hazifanyi vizuri ni za waisilamu ama ni za Bakwata?

Ukitoa Shule za Bakwata una data zozote kuonesha Shule za Kiisilamu hazifanyi Vizuri?

Kuanzia Feza, Aga Khan, Good Samaritan, Burhan, Istiqama na nyengine kibao zinafanya vizuri tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…