Kwanini shule za kiislamu hazifanyi vizuri katika mitihani ya taifa?

Serious unaweza kumpeleka mwanao Morogoro Muslim University ?.

Hivi unafahamu MMU wanafunzi wanakula bakora kama Wanafunzi wa Primary school !.

Hivi unajua kwamba MMU ndio chuo kinachoongoza kwa uchafu Africa Mashariki.
Boss wewe mtu mzima, vyema tuongee kwa Data, huwa sipendi stori za vijiweni vijiweni na mipasho,

Una data Zozote Zinazo Onesha hicho chuo ni cha Mwisho? Kuna data nyingi za ku rank Vyuo kama H-Index, citation etc Lete ushahidi kuonesha kwamba ni cha Mwisho.

Kuna vyuo vikuu kama 60 Tanzania kutegemea na Rank hicho chuo ni cha 18-22
 
Mfumo kristo.

Mohamed Said atakupa majibu kwa kina zaidi. Usisite kumuunganisha Sykes kwenye majibu yako.
 
Kumbe ile doc ya shule za katoliki ulileta ila baadae uje ufanye ulinganifu na shule za kiislam. Hamuwezi kufanya mambo yenu peke yenu bila kujilinganisha na wengine?
 
Kumbe ile doc ya shule za katoliki ulileta ila baadae uje ufanye ulinganifu na shule za kiislam. Hamuwezi kufanya mambo yenu peke yenu bila kujilinganisha na wengine?
Limenijia wazo too late, mada zite ilibdi iwe document moja
 
Ndio maana hakuna mnachojua zaidi ya kukariri Quran na kiarabu mkipayuka payuka kama wehu huko misikitini na madrassa kumtetea Allah mdhaifu asiyeweza kujitetea mwenyewe.
Hatumtetei Allah ila Allah ndo anatutetea sisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…