Kwanini si Dkt. Ali Hassan Mwinyi?

kila zama na kitabu chake
 
Wengine wamenunua CV wakati wengine wanazichukulia kawaida.
Hao ndio wanasiasa watanzania
 
Hata Rais mstaafu wa Zanzibar, Karume, sikumbuki kama nilishawahi kusikia akiitwa Dkt. Karume, ingawa na yeye alishazawadiwa udakatri, kama sijakosea.
 
Unafahamu hata Mbunge wa Geita vijijini, Msukuma, sasa hivi naye anaitwa Dkt. Joseph Kasheku Msukuma?
 
Back then hawakupenda kujikweza, kizazi cha kina A.Mwinyi na J.K.Nyerere kilikuwa na maslahi ya nchi, nchi na jamii before all. So hawakuwa na ego even though wangeamua kuwa nazo wangezipata. Lakini pia by then PHD hazikupatikana kirahisi, ilikuwa lazima usote kweli kweli. Siku izi wana nunua
 
Sasa hivi Dr ni swala la kisiasa na uchawa, leo nimesikia hata shekh mkuu wa bakwata akiitwa Dr sijui kasoma lini na wapi
Sheikh Mkuu..
Kasoma sana braza hiko cheo cha Mufti hakigawiwi kama matango lazima akae msomi ukitaka kujua kasoma nafikiri ungeuliza
 
Ila kuanzia Kikwete kuja mpaka hivi sasa, kila mtu ni Dkt. so and so……
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…