Wadau kwanini linapokuja swala la Muungano anazungumziwa Mwl Nyerere pekee na sio Abeid Karume? Nikweli Karume alitaka kuuvunja Muungano na hilo lilijulikana ikapangwa mipango akauliwa kabla hajahutubia taifa la Zanziba kuuvunja Muungano? kuna habari kuwa karume alishawi sema muungano ni kama koti likikubana unalivua. Basi zanzibar hawakuutaka muungano toka mwanzo na historia itatuhukumu tu.