Kwanini siipendi Halotel Tanzania

Kwanini siipendi Halotel Tanzania

snipa

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2013
Posts
4,437
Reaction score
2,043
Halotel mnawahi sana kureplace number.

I bet with you kwamba within a month or two mnakuwa mshagawa namba kwa mwingine kama muhusika haitumii, sielewi mna matatizo gani.

Unakuta umesajili simcard mpya na kisha unatafutwa na watu wanaodai wanaifahamu hiyo number ikiwa ni mtu wao Wa karibu alikuwa anatumia.

Imekuwa ni kero.

Mjitathmini kuna mitandao yapita within a year number wanakuwa hawajareplace.
 
Halotel walitaka kuchakachua special namba yangu.

Jasho liliwatoka
 
Halotel mnawahi sana kureplace number.

I bet with you kwamba within a month or two mnakuwa mshagawa namba kwa mwingine kama muhusika haitumii, sielewi mna matatizo gani.

Unakuta umesajili simcard mpya na kisha unatafutwa na watu wanaodai wanaifahamu hiyo number ikiwa ni mtu wao Wa karibu alikuwa anatumia.

Imekuwa ni kero.

Mjitathmini kuna mitandao yapita within a year number wanakuwa hawajareplace.
Kwa data ni bora sana

Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
 
Halotel ni mtandao was kishamba sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Unaweza uwe wa kishamba kweli ila kama uko cost conscious ukijaribu kuutumia nakwambia huwezi acha. Nilijaribu kwa sim banking, kwa kweli hawajawahi kuniangusha. Unafanya miamala ya kibenki with zero credit, sijawahi kuona. Kuna wengine bila salio la Ths 500 hata menu haifunguki.
 
Sasa kiongozi unasjili namba harafu kwa mwezi mzima huitumii unategemea nini kama sio kuongeza ti idadi ya Wateja hewa?

Sent using Jamii Forums mobile app
mimi nadhani hujamuelewa... How do you feel usajili line yako leo af watu waanze kukutafuta kwa kigezo cha kwamba hiyo line alikuwa anatumia mtu fulani... obvious hiyo ni kero tayari....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Voda pekee ndio wanatabia hiyo...
Unaweza uwe wa kishamba kweli ila kama uko cost conscious ukijaribu kuutumia nakwambia huwezi acha. Nilijaribu kwa sim banking, kwa kweli hawajawahi kuniangusha. Unafanya miamala ya kibenki with zero credit, sijawahi kuona. Kuna wengine bila salio la Ths 500 hata menu haifunguki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wacha wenzako wapige hela.. we unapumua wenzio wanaishi halotel mtandao bomba kabisa
 
Back
Top Bottom