Hii mitandao hii,
Unashangaa mtu anakupigia anakuita "Mjomba Shijaa habari za masiku"
Kwa data ni bora sanaHalotel mnawahi sana kureplace number.
I bet with you kwamba within a month or two mnakuwa mshagawa namba kwa mwingine kama muhusika haitumii, sielewi mna matatizo gani.
Unakuta umesajili simcard mpya na kisha unatafutwa na watu wanaodai wanaifahamu hiyo number ikiwa ni mtu wao Wa karibu alikuwa anatumia.
Imekuwa ni kero.
Mjitathmini kuna mitandao yapita within a year number wanakuwa hawajareplace.
Unaweza uwe wa kishamba kweli ila kama uko cost conscious ukijaribu kuutumia nakwambia huwezi acha. Nilijaribu kwa sim banking, kwa kweli hawajawahi kuniangusha. Unafanya miamala ya kibenki with zero credit, sijawahi kuona. Kuna wengine bila salio la Ths 500 hata menu haifunguki.
mimi nadhani hujamuelewa... How do you feel usajili line yako leo af watu waanze kukutafuta kwa kigezo cha kwamba hiyo line alikuwa anatumia mtu fulani... obvious hiyo ni kero tayari....Sasa kiongozi unasjili namba harafu kwa mwezi mzima huitumii unategemea nini kama sio kuongeza ti idadi ya Wateja hewa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nikisafiri nje ya nchi kimasomo au kikazi?Sasa kiongozi unasjili namba harafu kwa mwezi mzima huitumii unategemea nini kama sio kuongeza ti idadi ya Wateja hewa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Lakini vijijini huko bush ndo unaotufanya kuperuz humu