#COVID19 Kwanini siku hizi hatupati updates za Covid-19?

#COVID19 Kwanini siku hizi hatupati updates za Covid-19?

Daisam

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2016
Posts
2,625
Reaction score
3,141
Wapendwa, hongereni kwa kazi.

Awamu hii ilijinasibu kuwa itakuwa ikitoa taarifa za COVID-19 kila baada ya muda fulani, yaani idadi ya walioambukizwa, mahtuti nk.

Lakini mpaka sasa hatujui kinachoendelea juu ya COVID-19.

Naomba kuwasilisha.
 
Tumeshakula hela za wazungu, hatuna muda wa taarifa,

Ww subiri kulipia Kodi tulipe mikopo ya watu
 
Covid 19 si ni wabunge wa kuteuliwa? Hukusikia kilichotokea kweli?
 
Wapendwa, hongereni kwa kazi.

Awamu hii ilijinasibu kuwa itakuwa ikitoa taarifa za COVID-19 kila baada ya muda fulani, yaani idadi ya walioambukizwa, mahtuti nk.

Lakini mpaka sasa hatujui kinachoendelea juu ya COVID-19.

Naomba kuwasilisha.
Ni kwa sababu covid ulikuwa ugonjwa wa mchongo
 
Covid 19 ni influenza iliyokarabatiwa na huja kwa msimu. Tusubiri mlipuko mwingine kwa jina lingine.🤫
 
Chanjo kuu ya corona ilikuwa imetunzwa kwenye bunduki za ak 47 kule russia. Sasa zelensiky kafanya zienee ulimwenguni bila gharama za usafiri
 
Sukuma gang wanazuia kutoa taarifa za corona wanaficha ugonjwa.
 
Back
Top Bottom