Ni kwa sababu covid ulikuwa ugonjwa wa mchongoWapendwa, hongereni kwa kazi.
Awamu hii ilijinasibu kuwa itakuwa ikitoa taarifa za COVID-19 kila baada ya muda fulani, yaani idadi ya walioambukizwa, mahtuti nk.
Lakini mpaka sasa hatujui kinachoendelea juu ya COVID-19.
Naomba kuwasilisha.
Wapendwa, hongereni kwa kazi.