KWANINI SIKUHIZI DISCO ZA KUCHEZA MZIKI ZIMEDORORA

Singida ndio home

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
3,188
Reaction score
3,370
Nakumbuka zamani kidogo miaka ya 2005 kurudi nyuma disko zilikuwa zimechangamka sana, kipindi hicho ijumaa pamejaa, jumamosi pamejaa, jumapili ndo panajaa mno.

Nashangaa sana siku hizi vijana hawanaga time na hii starehe adimu, vijana wapo bize na smart phones, muvi na ma sub woofer.
 
Ndio sehemu pekee ilikuwa ya kuweza kuona na kubambia milupo mikali. Siku hizi imejaa insta kama yote, unabambia na kula kabisa bila usumbufu wa mende.
 
Nakumbuka zamani kidogo miaka ya 2005 kurudi nyuma disko zilikuwa zimechangamka sana, kipindi hicho ijumaa pamejaa, jumamosi pamejaa, jumapili ndo panajaa mno.

Nashangaa sana siku hizi vijana hawanaga time na hii starehe adimu, vijana wapo bize na smart phones, muvi na ma sub woofer.
Sikuzile tulikwenda kucheza Disco kwa raha zetu tele....
Na kwakua sikuizi tumekua wazee, basi tunakwenda kwa live band kupata burudani ya muziki, huku tukicheza polepole pasipo kutoka jasho wala pasipo matumizi ya nguvu.
Cha ajabu vijana wa leo hawajui hata nini maana ya kucheza muziki/disco, na badala yake hiki kizazi cha vidonge na sindano wamekua wakicheza na simu...teh
 
Siku hizi watu wako busy na starehe za kwenye bar..njoo kijichi anapopiga dj fuvu uone watu wanavyostareheka
 
Ni kweli mimi nina vijana wangu hapa mpaka huwa nawauliza hivi hobbies zao ni nini wapo wapo tu toka ijumaa mpaka jumapili wakati wengine ilikuwa ikifika Alhamisi tayari una ratiba nzima ya disco, tunaanzia kwanza kucheki wachuchu jolies club afu tunaingia Bills au maisha kwa kipindi kile au umekosea sana umebahatisha offer za wakaka zetu utaenda Latavena kama sikosei Chui bar or Bar one

Hapo umeazima sijui raba, mara T-shirt ilikuwa ni fujo za ujana na raha zake
 
Ni ushamba tu wa vijana wa sasa hivi na hasa wa Tanzania. Disco likp palepale nchi zingine. Nenda tu hapa karibu Nairobi, utakuta disco.
 
Ni kweli mimi nina vijana wangu hapa mpaka huwa nawauliza hivi hobbies zao ni nini wapo wapo tu toka ijumaa mpaka jumapili wakati wengine ilikuwa ikifika Alhamisi tayari una ratiba nzima ya disco, tunaanzia kwanza kucheki wachuchu jolies club afu tunaingia Bills au maisha kwa kipindi kile au umekosea sana umebahatisha offer za wakaka zetu utaenda Latavena kama sikosei Chui bar or Bar one

Hapo umeazima sijui raba, mara T-shirt ilikuwa ni fujo za ujana na raha zake

Mkuu usiwaulize tena hilo swali, jiandae tu kupata wajukuu wa ghafla
 
Night clubs full bata siku hizi, ni uamuzi wako tu kukesha
 
Nakumbuka zamani kidogo miaka ya 2005 kurudi nyuma disko zilikuwa zimechangamka sana, kipindi hicho ijumaa pamejaa, jumamosi pamejaa, jumapili ndo panajaa mno.

Nashangaa sana siku hizi vijana hawanaga time na hii starehe adimu, vijana wapo bize na smart phones, muvi na ma sub woofer.
Jumamosi jaribu kutembelea HAVOC masaki mwisho ndo utajua kama watu bado wana club au laaa!
 
Unaanzaje kucheza mziki, mtoto anadaiwa ada, kodi ya nyumba haijalipwa, gari inataka service, salio la benki lipo below laki mbili, haujafanya weekly grocery shopping, umeme haujanunua, bili ya maji bado haijalipwa. Na kadhalika, how will you dance?!
Story of my Life
 
Back
Top Bottom