Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,188
- 3,370
Sikuzile tulikwenda kucheza Disco kwa raha zetu tele....Nakumbuka zamani kidogo miaka ya 2005 kurudi nyuma disko zilikuwa zimechangamka sana, kipindi hicho ijumaa pamejaa, jumamosi pamejaa, jumapili ndo panajaa mno.
Nashangaa sana siku hizi vijana hawanaga time na hii starehe adimu, vijana wapo bize na smart phones, muvi na ma sub woofer.
Ni kweli mimi nina vijana wangu hapa mpaka huwa nawauliza hivi hobbies zao ni nini wapo wapo tu toka ijumaa mpaka jumapili wakati wengine ilikuwa ikifika Alhamisi tayari una ratiba nzima ya disco, tunaanzia kwanza kucheki wachuchu jolies club afu tunaingia Bills au maisha kwa kipindi kile au umekosea sana umebahatisha offer za wakaka zetu utaenda Latavena kama sikosei Chui bar or Bar one
Hapo umeazima sijui raba, mara T-shirt ilikuwa ni fujo za ujana na raha zake
Jumamosi jaribu kutembelea HAVOC masaki mwisho ndo utajua kama watu bado wana club au laaa!Nakumbuka zamani kidogo miaka ya 2005 kurudi nyuma disko zilikuwa zimechangamka sana, kipindi hicho ijumaa pamejaa, jumamosi pamejaa, jumapili ndo panajaa mno.
Nashangaa sana siku hizi vijana hawanaga time na hii starehe adimu, vijana wapo bize na smart phones, muvi na ma sub woofer.
Story of my LifeUnaanzaje kucheza mziki, mtoto anadaiwa ada, kodi ya nyumba haijalipwa, gari inataka service, salio la benki lipo below laki mbili, haujafanya weekly grocery shopping, umeme haujanunua, bili ya maji bado haijalipwa. Na kadhalika, how will you dance?!