Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
WalisahauHapa ndipo Mangungu na Try Again wanapolaumiwa na mashabiki wao. Yaani haiwezekani team yenye kombe Moja ifanye parade halafu team yenye makombe mawili ishindwe kufanya parade tena la nguvu kwenye mitaa ya Kariakoo.
Kombe la muungano limekabidhiwa na rais wa nchi ni kubwa mno!Hivi kati ya Kombe la Muungano na lile la Ligi kuu ya Tanganyika, lipi kubwa mpaka viongozi wetu washindwe kutuhamasisha sisi mashabiki na wachezaji kufanya gwaride la heshima?
Kama vipi Mangungu na Try Again watuachie timu yetu! Jambo hili halikubaliki hata kidogo. 😩
Mmewakunbusha nadhani wamelichukuaTuamke This is Simba braza
Bila kusahau Whatup channel na kibegiHaitoshi msimu huu Simba imekuwa na pafomansi kubwa
1.Ngao ya jamii
2.kombe kubwa la muungano
Tulifanya mbona tulipotoka kubeba ubingwa ule mwaka tukatumia kirikuu kikubwa kikubwa!