MwananchiOG
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 1,970
- 4,037
Hivi taasisi muhimu na nyeti, inaachaje kutoa salamu za pongezi kwa kiongozi mkuu mstaafu? Tena mwanamichezo na mtu muhimu kwenye soka la Tanzania?
Bado haitoshi, Rais wa shirikisho la vilabu Afrika maana yake pia ni Rais wa Simba ameenda Ulaya kushiriki katika mkutano na shirikisho la vilabu barani ulaya, yote hii ni katika kusaidia soka la Afrika na kuzipambania timu za Afrika, kama ilivyokuwa Yanga enzi za kupambania uhuru wa Afrika, Cha kushangaza hili nalo hawalioni?