Kwanini Simba hawajampost Rais wa shirikisho la vilabu Afrika wala pongezi kwa birthday ya Kikwete?

MwananchiOG

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2023
Posts
1,970
Reaction score
4,037

Hivi taasisi muhimu na nyeti, inaachaje kutoa salamu za pongezi kwa kiongozi mkuu mstaafu? Tena mwanamichezo na mtu muhimu kwenye soka la Tanzania?

Bado haitoshi, Rais wa shirikisho la vilabu Afrika maana yake pia ni Rais wa Simba ameenda Ulaya kushiriki katika mkutano na shirikisho la vilabu barani ulaya, yote hii ni katika kusaidia soka la Afrika na kuzipambania timu za Afrika, kama ilivyokuwa Yanga enzi za kupambania uhuru wa Afrika, Cha kushangaza hili nalo hawalioni?
 
Tanzania kila mtu amekuwa chawa. kwani ni lazima simba kumuwish birthday Mheshimiwa JK? Vijana uchawa uchawa tu kila mahali.
 
Wenye akili huko Utopoloni ni wawili tu
 
Wakati simba timu inayotoka nchini kwake inafanyiwa vitendo vya kishenzi na al ahly tripoli kule libya yeye kama rais wa klabu africa hakuwahi kupost sehemu yoyote,kukemea wala kulaani aliyofanyiwa simba na kama haitoshi kule kenya akiwa na rais wa caf bado hakuongea chochote mpaka mwandishi wa kenya akaamua kuisemea simba
 
Wakati goli la Yanga zidi ya Mamelod linakataliwa uongozi wa Simba ulikuwa busy kussupport kwamba lile halikuwa goli uku viongozi wakiwa wamevaa kabisa jezi za Ubuntu Botho .
 
Mkuu mashabiki wa Yanga hasa humu mitandaoni wana tabia na ushabiki
 
Ona huyu mwe'kundu' mwingine wa Msimbazi, haelewi hata maana ya ushabiki, umbumbumbu umetawala huko kolouizdad
 
Kwani huko aliko enda amepostiwa wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…