Mchezaji gani miguu inatetemeka hovyo anachojua ni kutumia miguvu2 lkn akili ni sifuri kbsa, mzamiru anafaa kuchezea kitayosa Fc, simba wakimuacha tusitegemee tena makombe kwa kiungo kama mzamiru
Mzamiru akate umeme halafu Simba ihangaike kutafuta wakata umeme... Simba haihitaji mchezaji anaye-"fluke" kwenye mechi moja, Simba inahitaji mchezaji mwenye consistency ya performance kwenye mechi nyingi...