Mzee wa Twitter
JF-Expert Member
- Nov 5, 2023
- 1,483
- 2,392
Iwe BINGWA wa TANZANIA nayo haitoshi?Hiyo hela haitakidhi malengo ya timu kama Simba.
Sijui hata kwa nini huwa mnaitaja kama vile ni hela ya kufanya Simba iwe bingwa wa Africa.
Hiyo hela hata Ihefu wanayo.Iwe BINGWA wa TANZANIA nayo haitoshi?
Yaani mkuu ulivyohitimisha umenikosha sana!๐๐๐๐SIMBA 2 NAMUNGO 2
Ya kupanda auNatafuta nguruwe Nina shida naye nipo seriously๐๐ค
Mkuu itakuwa humjui aliyemleta Pacome ndio maana unauliza swali hiloSimba mnaishi kwa nadharia sana. Na hapo ndio kwenye shida kubwa. Mnashikiwa akili na watu wachache sana wanawatoa kwenye reli. Matokeo yake mnaacha ku focus na vitu vya maana mnaishi kwa nadharia.
We ulimuona Pacome akipelekwa simba kabla ya Yanga na wakashindwa kumnunua?
Ya kupanda au
Holiday leo utoke na familia mkamleMboga yule