Tyrone Kaijage
JF-Expert Member
- Jul 19, 2021
- 1,617
- 3,405
Hivi huku kujitambulisha kwa Club zetu kubwa za michezo kama SC wakati unawaona ni FC , ili hali hatusikii sports zingine ndani yake kuna maana gani?
Au wana timu za Boxing, Netball, Basket ball etc ambazo hazijatambulishwa kwa Umma?
Mfano Twaha simba Dulla Yanga.
Laiti zingezingatia SC kama zinavyojieleza,hizi wiki zao zingekuwa sports weeks kama mini Olympics, na labda tungeweza kuwa tunaweka open vipaji vingi vya michezo zaidi.
Imagine wiki ina ratibiwa kwa Riadha,Boxing,Basketball.