Tyrone Kaijage
JF-Expert Member
- Jul 19, 2021
- 1,617
- 3,405
....Mkuu, wakati klabu hizi zimeanzishwa kulikuwa na michezo mingi zaidi ya soka, ndio maana zikaitwa SC.. Kulikuwa na timu za Netball, Ndondi na kadhalika.Hivi huku kujitambulisha kwa Club zetu kubwa za michezo kama SC wakati unawaona ni FC , ili hali hatusikii sports zingine ndani yake kuna maana gani?
Au wana timu za Boxing, Netball, Basket ball etc ambazo hazijatambulishwa kwa Umma?
Mfano Twaha simba Dulla Yanga.
Laiti zingezingatia SC kama zinavyojieleza,hizi wiki zao zingekuwa sports weeks kama mini Olympics, na labda tungeweza kuwa tunaweka open vipaji vingi vya michezo zaidi.
Imagine wiki ina ratibiwa kwa Riadha,Boxing,Basketball.
Enzi za ukoloni miaka ya 1930s zilivozaliwa Young Africans na Sunderland (Simba) kulianzishwa pia michezo mingine ( Volleyball,Basket,net,tennis bio nknknk) sambamba na mpira wa miguu(soka)Hivi huku kujitambulisha kwa Club zetu kubwa za michezo kama SC wakati unawaona ni FC , ili hali hatusikii sports zingine ndani yake kuna maana gani?
Au wana timu za Boxing, Netball, Basket ball etc ambazo hazijatambulishwa kwa Umma?
Mfano Twaha simba Dulla Yanga.
Laiti zingezingatia SC kama zinavyojieleza,hizi wiki zao zingekuwa sports weeks kama mini Olympics, na labda tungeweza kuwa tunaweka open vipaji vingi vya michezo zaidi.
Imagine wiki ina ratibiwa kwa Riadha,Boxing,Basketball.
Yanga sports club(sc)- club ya michezo aina nyingi.ngumi,riadha n,k.
Simba football club(fc)-ni club ya soka tu.
Angalau wewe umenipa mwangaYanga sports club(sc)- club ya michezo aina nyingi.ngumi,riadha n,k.
Simba football club(fc)-ni club ya soka tu.
Awali hizi team zilikuwa na michezo mingine nje ya mpira, kama boxing na netball. Kwa sasa naona michezo hiyo ilisha futika.Hivi huku kujitambulisha kwa Club zetu kubwa za michezo kama SC wakati unawaona ni FC , ili hali hatusikii sports zingine ndani yake kuna maana gani?
Au wana timu za Boxing, Netball, Basket ball etc ambazo hazijatambulishwa kwa Umma?
Mfano Twaha simba Dulla Yanga.
Laiti zingezingatia SC kama zinavyojieleza,hizi wiki zao zingekuwa sports weeks kama mini Olympics, na labda tungeweza kuwa tunaweka open vipaji vingi vya michezo zaidi.
Imagine wiki ina ratibiwa kwa Riadha,Boxing,Basketball.
Hizi timu zilikua na michezo mbalimbaliHivi huku kujitambulisha kwa Club zetu kubwa za michezo kama SC wakati unawaona ni FC , ili hali hatusikii sports zingine ndani yake kuna maana gani?