ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,170
- 7,665
Habari,
Kwa mwenendo ulivyo katika Timu ya Simba hasa upande wa kikosi, nilifikiri katika maboresho ya kikosi chao ili kuweza kufanya vizuri kimataifa na ligi ya ndani walikuwa wanahitaji mchezaji mzawa kama Feisal Toto.
Hili sakataka la Feisal Toto lilivyokuwa linakwenda ulikuwa ni wakati mzuri wa timu kubwa kuingilia kati na kumchukua Feisal juu kwa juu.
Simba ni wapi tutapata mchezaji mzawa aina ya Feisal Toto? Je, ni kwamba viongozi wetu hawakuona umuhimu wa kumchukua Feisal? Kwa misimu miwili sasa tumekuwa tukisajiri wa ndani kutoka Zanzibar na bara lakini wote wamekuwa hawaoneshi uwezo ule tunao utegemea. Huu ulikuwa ni wakati mzuri wa kulamba dume kwa Feisal Toto kwani ana uwezo ule ambao tunauhitaji katika timu yetu.
Itakuwa ni upuuzi kutafuta mchezaji mgeni wa aina ya Feisal Toto wakati tumemuacha ameenda Azam.
Huu sio wakati wa Simba kuzidiwa na Azam katika sajili, Azam alitakiwa kupigwa kanzu na sie kumchukua huyu kijana.
Naamini Simba tutakumbuka haya makosa ya mapema tunayo yafanya katika wachezaji wazawa.