Kwanini Simba wameshindwa kumsajiri Feisal Salum?

Simba kushindwa kumsajili Fei toto mimi sishangai labda pesa. Ila kuna yule beki wa kushoto Ihefu ambaye alishakubali. Akaja Mohamedi Hussein na waandishi aliowahonga kwamba eti anatakiwa Kaiser Chief na kwingine. Sharti la kwanza wasimsajili yule beki. Pili wampe 300,000. Ujue hapo kuna anayekula azilimia 30. Nasilikia Hussein kapewa mil.300 jamaa kala percent yake na yule beki wa Ihefu kaenda Singida. Kwa hakika Simba msimu unao ni mbaya kuliko huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…